SNS, fanyen kuwafanyia interview, madj wa movies pia, tuwajue na zaidi ya walivyo, kama Dj Murphy wa full respect FAMILY, ommy dj, babu dj, na wengi wengi wengi
Alivyosema km alivyoshauriwa ni kweli, kwamba usitafisiri neno kwa neno, ni km anavyofanya dj afro a.k.a kimodaa, yeye hatafisiri neno kwa neno lkn anaelezea content kwa kila scene na anainogesha kwa kuongeza comedy
Amazing, hii ni kubwa sana. Keep going to improve na kua na strategies nzuri zaidi Lakini pia ni muhimu kuona namna ya kuweza kuilinda hii sanaa kwakua wenzetu wanaweza kupita nayo na ikawa faida kubwa. Hongera DJBLACK
Dj black a..k.a manizoo,moja ya ma-dj wakali kabisaa ninaowakubali kwenye kufasiri movies za kikorea, na huwa haongei uongo kwenye utafisiri, siyo km wengine kiingereza hawakielewi, anaongea hivi, yeye anatafasiri tofauti
Kuna watu wanawachukulia poa hawa madj na kudhani kuwa hawajasoma wanaongea tu kufurahisha watu kitu ambacho sio watu waliishatoka huko madj wengi wako vizuri hawadanganyi wanapotafsiri movie ni wakati wa kuwaunga mkono kwa upande wa mamlaka husika
SASA WASANII WA BONGO MOVIES WA SASA MUAMIN KWWMBA ,NINYI HAKUNA MNACHOKIFANYA KWA SASA, MNAANGALIANA TU NI NANI MWENYE MAKALIO MAZURI NDIO ANAIGIZA HATA KM STORY NI MBOVU, ZAMANI NDIO WALIFANYA KEA KUANGALIA KIPAJI, SASA JIULIZE MTU ANAIPENDA MOVIE YA MIAKA 20 ILIYOPITA, NA HADI NSYUKA, MJITAFAKARI