Тёмный

LOUI afunguka MAZITO kuhusu nguvu ya DIAMOND, asema kumfikia wengine itawachukua MIAKA 3 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 14 дней назад
Loui talent yake si ya kibongo at all ila ndoivo.. He's really a Grammy Bway🙌.. S/O to u brother Sky.. Studio noma sna S/O to our sis Bby Sky🙌🔥
@yaduniapeter
@yaduniapeter 15 дней назад
Hongera kamera quality
@njoroboihastla
@njoroboihastla 11 дней назад
Chemistry ya loui & sky kwent interview imekubaliiii🙌🔥🔥🔥
@ByamunguBatumana-ff9de4zx6p
@ByamunguBatumana-ff9de4zx6p 15 дней назад
FALLY IPUPA anayo concert mbele ya watu 16000k kwenye LDCL ARENA ya ufaransa leo usiku tunaomba sky utuleteya abari za iyo concert pls
@dullymanso3069
@dullymanso3069 13 дней назад
Loui anaongea facts and facts only
@titoamani-e8b
@titoamani-e8b 15 дней назад
wasanii wengine kama Harmonize anaamini kuroga youtube account ya Diamond itamufanya atrend sana😅😅😅😅😅
@mkgorilla7200
@mkgorilla7200 14 дней назад
Anayeamini hivo ni wewe
@SaidSaid-nr2xe
@SaidSaid-nr2xe 14 дней назад
Apo TN bado
@geomangi6123
@geomangi6123 14 дней назад
acha nyege
@Ruderapper-hl8ej
@Ruderapper-hl8ej 12 дней назад
Unawashwa,una hamu yakukunwa😂😂 uliona lini akoroga...
@ullyamos4205
@ullyamos4205 13 дней назад
Kaka sky hapo loui aliposema kujaza uwanja taifa stadium diamond anajaza fact ni miaka sita iliyopita 28 july 2017 alijaza taifa ,pia ww mwenyewe kupitia sns miaka mnne a Iliyopita alijaza Sierra leone watu 70000 stadium na ni show zake sio matamasha ya kisiasa ,au endorsement za makampuni bas taifa inawezekana embu mkatafute nilivyosema koz ni ukweli mtupu niliosema, huyu diamond wetu tu msupport plan yake ni kujaza nje ya africa kwa wingi huo huo km africa anavyifanya ,about loui nitasema km interview yake alifanya na almando bongo 5 kwamba diamond hakumuona loui na bruce africa akamsign dvoice kweli daah inashangaza japo ni biashar za watuu
@Wizy_store
@Wizy_store 14 дней назад
Ila loui😂
@HercaIlunga
@HercaIlunga 15 дней назад
Miaka tatu ao 30? Miye naona itawachukuwa miaka 100 na zaidi na pengine hatatokea wa kumufikia
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 15 дней назад
True
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 15 дней назад
We una akilii wap kibao wakina konde boy Vani boy Wana kiwasha kushindwa uyo boya wenuuu kafanya nn chaaajabu Kuna watu waliwazaa uka patikana mzikiii WA bongo felevaa we etii mondiii nyinyi ndio mna uwa vipaji vyaa watuu Kuna marioo wa motoo saanaa
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 15 дней назад
Hakuna wa kumfikia
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 14 дней назад
Xx we shoga hata Kam hujui kusoma ta picha ikuxhnde kuielewa#hao vistul unaowasifu yy nd kawafundsha Kila ki2 kuhusu music afu unatoka na komwe lako ilo ka Tako la mwjk unabwabwaja😂😂😂😂😂😂#in shot atakayekuja kumfunka Simba labda watt watakaozaliwa 9800
@BigZhumbe
@BigZhumbe 14 дней назад
​@@RomanMwinyi Vanny na Harmo ni maajabu yake yeye bila yeye wasingefika walipo sasa na wao wamefanya makubwa gani kumzidi Mondi
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 14 дней назад
Tushkuru tulichonacho na tuendelee kupambania kizidi.. ila sio kulia eti mziki wa bongo mgumu.. Bro kuna nchi kama Burundi🇧🇮 wanatuangalia sisi kama ma role models though tunalialia
@DoroMally
@DoroMally 14 дней назад
Hongera Diamond
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 14 дней назад
Uchumi wa Tanzania tatizo wananchi wengi masikini
@yohanamwalongo-rx2vt
@yohanamwalongo-rx2vt 14 дней назад
Huwa nafrai kuona msanii ana uwezo flani au maarifa ya kujua mazingira kwa upana wa elim yake anakua mwepesi wakupangilia maudhui
@CamweziKarrashnekov
@CamweziKarrashnekov 14 дней назад
Kwenye muziki acheni tusubiri ujio wa Yesu wenda huko ndo tutamuona Diamond mwengine
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 14 дней назад
Rekebisha kauli ile haikua mchana ni usiku ila hakukua giza totoro
@malkavoice2570
@malkavoice2570 14 дней назад
Ujue Sisi hatuwezagi kufungua interview ye yote anayemsema vby Diamond kbs alafu tupo wengi
@Robinson24560
@Robinson24560 12 дней назад
Miaka tatu itawachukua miaka mia tatu hamsini chibudee hashikiki leo walo kesho
@kennedymafole
@kennedymafole 14 дней назад
daxo chali like zake hapa
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 14 дней назад
Lewis Hamilton alionekana kwenye clip akiisifia ngoma yako selema!
@iam_sami
@iam_sami 14 дней назад
Uyu jamaa anajua sema nimjuaji sna aisee na iyo ndo itmkwamisha eti aliyo yafanya diamond kwake atatumia miaka mitatu nakunya ato tokea kama diamond ata akijalibu
@tagbaya2347
@tagbaya2347 14 дней назад
Loui aanze kujitafuta kuanzia chini ili afanikiwe zaidi ahakikishe kwanza amejulikana Tanzania ndo aupeleke nje aache kudili na mataifa ya nje wakati bongo tu watu awajamjua
@fj8317
@fj8317 14 дней назад
Hiyo point kubwa sana haioni sababu ana numbers nje ila ndani ni muhimu Ili apate endorsement na shows
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 14 дней назад
Mimi ndiyo kwanza namwona sijui wimbo wake hata mmoja
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 14 дней назад
Nguvu ipi? yani hizi média na watangazaji ndio wanazidi kuwaua wasanii wa Tz kuwasifia uongo. Tz akuna msani ambae anaweza akafanya show Ulaya ama Marekani afu akapata watu 1500 akuna uyo msani Tz nzima hata waungane. sasa mkishashiba munakaa kwenye média mnaanza kusifia uongo
@user-vq3vj4ih6x
@user-vq3vj4ih6x 14 дней назад
Sana kaka hakuna jpya hapa
@user-vq3vj4ih6x
@user-vq3vj4ih6x 14 дней назад
Kauli za wasanii ambao hamjui mnachotaka ndo itafanya wengine washndwe
Далее
SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO
40:50
Просмотров 365 тыс.
What Is He Doing?!
0:11
Просмотров 8 млн
STAGE12 200CC FL-R EN ACTION 🧡🧡
0:49
Просмотров 15 млн
Тест Подвески БМВ
1:00
Просмотров 3,3 млн