Hii timu iliyokwenda Dubai ni hatari sana kwa uchumi na raslimali za nchi yetu. Hewa ndio wa Bunge wa Bunge la tano la Magufuri wamebadirika utadhani sio wao!!! Kweli kufanya kazi na watu wanafiki ni hatari sana
Kwanza mngehoji wenye viwanda kwa nini sukari ilipotea? na imekuwa ni kawaida inafichwa ili ipande . mbona hamuwatetei wananchi. Wacha zipindishwe tu ilimradi tunapata sukari
Wewe slaa huna jipya Kama lakwako unangoja uanzishiwe halafu ulivalie njuga ujinga mtupu macho yanakutoka kwa Mambo ya watu. Umeshapoteza hadhi umebaki Kama machinga tu