Тёмный

DR SULLE AWASHA MOTO WANAO MSEMA RAIS SAMIA//UKIISHI BILA KUJISHUGULISHA USILALAMIKE 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 2,1 тыс.
50% 1

#drsulle #africa #tanzania

Опубликовано:

 

27 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@nomar3708
@nomar3708 22 дня назад
Asante sana Dr Sule. Waelimishe wa Tanzania wasije kuharibu nchi yao. Maisha yamepanda ulimwengu mzima. Hapa uingereza kila kitu kimepanda. Wazungu wanachemsha viazi na kula, wanalalmika lakini uzuri wao wanaelewa chanzo cha kupanda bei kea vitu. Mungu ainusuru Tanzania yetu na akupe afya Dr Sule uweze kuwaelimisha vijana wetu
@evelinambewe2835
@evelinambewe2835 22 дня назад
Asante baba
@NassourJuma
@NassourJuma 22 дня назад
MashaAllah Allah atuwekee watu kama hawa kwa sabubu niwachache sana
@user-jx1rg4eq9x
@user-jx1rg4eq9x 22 дня назад
Dr. Wapatie logic na Facts.hawanaga fadhila hao Kwa serikali. Inawapa ruzuku halafu wanaigeukia na kuisema vibaya , kama sio wendawazimu huo ! Watanzania yatosha kujifunza yamayojiri Kenya, kamwe tusikubali hadaa za kusabanisha vurugu wachochezi hawachelewi kukimbilia nchi za nje, au vipi wanakimbilia kwenye ubalozi wa nchi za nje , mwenzangu na Mimi tutabaki kumbwerambwera tuu. Kamwe tusitafute vita wakati wa amani .
@husha6372
@husha6372 22 дня назад
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu dr Duke Maisha ulaya na Dunia nzima Ni manumission hata n I Za waarabu
@user-tr3vt7nf2p
@user-tr3vt7nf2p 22 дня назад
Uyu jama nampendaga wallah mungu asimfishe sijamuona na sijuw ni lini apo sasa
@KarumeKindamba-lk1px
@KarumeKindamba-lk1px 22 дня назад
Dr. Shule,Mimi ninakukubali lakini huko unapoelekea utaharibikiwa kama marehemu Magezi (nyundo ya chuma) alikuwa mtu ambae anakubalika sana na vijana wa kislam.Mimi ninakuomba utushauri kupambana ktk kujenga Dunia yetu na dini yetu.Mama amekwama ni Mungu peke atamvusha
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 22 дня назад
TUNAHITAJI WATU KAMA SULE...ANAKUELEWESHA VIZURI USIPOTAKA KWENDA
@ibrahmuya3528
@ibrahmuya3528 22 дня назад
Kabisa Mimi ni mkristo lakini shekh kamalza wanaobisha wote mashetani
@user-jq2lk5tm3t
@user-jq2lk5tm3t 22 дня назад
acha siasa ww
@user13375
@user13375 21 день назад
We si unafuga majini,au ndo kujishughulisha eee😢😢😢😮😮
@user-du5wk9ns9m
@user-du5wk9ns9m 22 дня назад
Mwanasiasa huyu sio sheikh tena
@josephkostans9128
@josephkostans9128 22 дня назад
Alieshiba hajawahi kumkumbuka mwenye njaaa
@shabandamas1759
@shabandamas1759 22 дня назад
Dr sule nakukubar sikuzote ila kwenye hili umezingua pakubwa..!! Unachanganya Vp Dini na siasa za kidemokrasia..!! Kwanini utue nguvu kubwa kumtetea kiongozi wa siasa kupitia mgongo wa dini..
@user13375
@user13375 21 день назад
Uchawa hadi kwa dini😮😮😮😮
@kutailass6671
@kutailass6671 19 дней назад
Kwan muislam hana hak yakuzungumzia mambo yanayo husu dunia jamani? Mbona watu munaroho zakuchawi sana
@andrewdokhoya
@andrewdokhoya 22 дня назад
Matako yako wewe wachana na kenya. Kenya sio yule Allah wako mjinga
@kutailass6671
@kutailass6671 19 дней назад
Hapo kwenye Allah umelaanuka wewe
@thamani5842
@thamani5842 17 дней назад
KAFFIRI mkubwa we
Далее
ОСКАР И ДЖОНИ ПОДРАЛИСЬ 😳
01:00
Просмотров 382 тыс.
ОСКАР И ДЖОНИ ПОДРАЛИСЬ 😳
01:00
Просмотров 382 тыс.