Ni Sendoff ya Irene Mushi .. Kama mtu akaomba nafasi aseme neno kwa kifupi. Ila kifupi yenyewe sasa 🤣🤣.. Na zawadi Aliyotoa. Mambo mengi. Weka comment yako..
Ana maneno ya shombo!! 😂😂 Lkn nimemkubali Mambo ya utatu,, kwajina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, & tumsifu yesu kristu.... Krist.... Tumaini letu...
🤣🤣🤣yaan apo walijua wanapewa mipesa kumbe🤣🤣angalia walivyopokea kidharau inshot wamekutana mama akiongea sanaa baba kimya coz anadharau beat moja uchezaj tofaut ndan ya nyumba hatariii🤣
Angekua babayangu mzazi asivyokua na aibu basi angesimama kwenye kitu hapohapo ukumbini amwambie "aise naniii embu Rudi huku kabla cjakasiri""" mtu ashatolewa mahari af unasema ana mdomo??? Jinga kabisa
Yes.Nilivyomwelewa. 1.Unamchukua Dada yetu ila apendi kuonewa. 2.Tunashirikiana katika kupambana hivyo isimtese 3.Usiseme hukuambiwa au hujua tabia ya Dada yetu hivyo mchukue ukiwa unaelewa 4.Inaelekea mtoto siyo wa huyo kaka.Ndiyo maana kamleta,Ukipenda boga na uwa lake ili baadaye usiseme ujui,umeonyeshwa tena mbele ya mashahidi wengi.Mtazamo wangu ulikuwa hivyo.
Mdogo mtu Mbona kama mwezi mchanga? Full mapepe talking nonsense all over na hiyo couple Mbona full stress na gubu? Utafkiri wamelazimishwa, in short kila kitu kwenye hii clip ni utopolo mtupu