Тёмный

#Kijora 

bongotzfm
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

sikiliza mkasa wa yassin abdallah kijana aliesingiziwa kessi ya kumbaka bossi wake mwanamke mwenye umri wa mama yake.
#kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbatv #diamond #yangasc #wcb #singidafountaingate #kondegang #wcb #yangatv #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbasc #live #simbatv #diamond #diamond #yangatv #yangasc #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #simbatv #diamond #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang
#rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #micheZo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu

Развлечения

Опубликовано:

 

25 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 174   
@newvoicetutorial2131
@newvoicetutorial2131 3 месяца назад
Maisha nisafari usiyoijuwa vituo vya kupumzika lakini maisha yanatutaka kuwawaungwana kwani kila unachokifanya utafanyiwa,
@eliasmapesa
@eliasmapesa 14 дней назад
Pole braza umekosea sana kwenda kwenye hii radio ungeenda kwa milad ayo ,,,lakini hayo we unahuzuni menyewe yanacheka ,,
@Josung08
@Josung08 2 месяца назад
nimepend yassin yko humble sana Mungu akufanyie wepesi wa maisha
@user-vj1bc3qg4o
@user-vj1bc3qg4o 3 месяца назад
Hawa watangazaji jamani sijui wamewaokotea wapi hawapo sereous ningekua mimi ndio mtoa story ningenyanyuka nikaondoka nikawaacha 🙌🏼😢
@allyomary4230
@allyomary4230 3 месяца назад
Jamani NAOMBENI MTAFUTENI NA MWANASHERIA ALIYEMSAIDIA Kwa hakika amefanya IHSAN sana kumsaidia KIJANA huyu vinginevyo ANGEOZEA GEREZANI
@bukheribukheri798
@bukheribukheri798 3 месяца назад
😢😢😢
@shukurudenis8922
@shukurudenis8922 3 месяца назад
Hembe kuweni seriously na kazi zenu munaleta masiala mtakosa wasikilzaji kwenye radio 📻 yenu
@bullamsangi4049
@bullamsangi4049 3 месяца назад
Watangazaji wa hivyo sana jaribuni kujifunza kwa watangazaji wanaojua kazi sio mnavamia kazi msizozijua
@danielthomas4419
@danielthomas4419 3 месяца назад
Yani Hawa nimabogazi yani Bora hata hangeenda vituo vingine vya redio hivi hii redio ya wapi kwanza😊
@SuperLee83
@SuperLee83 3 месяца назад
Ayubu hawa watangazaji wako kweli?...mbona utumbo mwingi saana!!!!
@arnoldmoses2803
@arnoldmoses2803 3 месяца назад
Mtafutee kwa hali na mali udi na uvumba yulee jamaa alie kusaidiaa... Yaan hata kwa kutangazaa uweze kumpa ata neno asante sio lazima pesa aiseee... Langu n hilo sijui kama utaiona hiii sms ila ndo ivyo
@InnocentArchaeology-jz5ti
@InnocentArchaeology-jz5ti 3 месяца назад
Police maturubai wanatabia mbaya sana mama angu amefariki sababu ni wao wakipewa pesa tu basi kesi inageuzwa jamn 😭😭kila nikikumbuk nalia tuu natamani mungu awauwe wote
@aidansemwenda2626
@aidansemwenda2626 3 месяца назад
😢
@johanesjunnior3359
@johanesjunnior3359 3 месяца назад
Daaaah polee sana but Mungu ndo kila kitu ndugu
@muziki228
@muziki228 3 месяца назад
mtu kakaa kwenye interview siku 3 mmeshindwa hata wa kumpa mda wa kutosha wa kuomba msaaada , shame on you
@innocentshoo984
@innocentshoo984 3 месяца назад
There is big difference btw well training and well educated you guys you need to be back for training
@hassanihassaninasaba8803
@hassanihassaninasaba8803 26 дней назад
Dah watu wabaya sana
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 3 месяца назад
Hii media hamna kitu hapa tunasikiliza makelele ya watangazaji au anaehojiwa mi natamani hii story tungeikuta hata media nyingine sio hii muhusika anastory Nzuri ya mapito ya maisha ila watangazaji wapo kama bar
@manongichotile3495
@manongichotile3495 3 месяца назад
Hii story angeifanya Millard ayo ingenoga sana
@SukeJohn-gl9pu
@SukeJohn-gl9pu 3 месяца назад
Sawa
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 3 месяца назад
Kwakweli Namuomba Allah, Anipe uwezo zaidi wa kumpa Elimu Bora mwanangu... Nimegundua ukiwa na elimu huwezi kukubali kupelekwa pelekwa, na pia unaweza kuwa na uwezo wa kujitetea...
@joharirashid75
@joharirashid75 3 месяца назад
waaandishi wanaboa sana mnaingilia hako,kadada ndo hakawezi kbsa kutangaza
@anord633
@anord633 3 месяца назад
Radio hii nzul lkn watangazaj munashindwa endana na vitu 😂 jitahidn
@user-un1xy7rv2o
@user-un1xy7rv2o 3 месяца назад
Nimepitia comment nyingi jamani watangazaji jirekebisheni
@KelvinNyerere
@KelvinNyerere 3 месяца назад
Hamna watangazaji hapo,taaluma yao wameikanyaga miguuni
@LUSAJOMWAKABUKU
@LUSAJOMWAKABUKU Месяц назад
Lusajo
@suleimanikirassahassan9711
@suleimanikirassahassan9711 3 месяца назад
Jina la kipindi limeharibu maana nzima ya stori watangazaji hawastahili kuwepo hapo kwenye microphone
@user-tn8iy2ou6s
@user-tn8iy2ou6s 2 месяца назад
Hiii media ya wapi bora muachane na muwe wa
@DULLAY-DJ
@DULLAY-DJ 3 месяца назад
Watangazaji kweli hawa!?? Et mambo yanaenedelea vizuri anhaa😂😂
@AblakadiAbasi
@AblakadiAbasi 3 месяца назад
Nyie watangazajii sio MA professional interview kama hii muwe seriously sio Kila muda matangazo au hamuoni interview wanazofanya channel nyingne kama Millard ayo achen ujinga
@djaivanofficial8896
@djaivanofficial8896 2 месяца назад
Story kama hzi mnapo upload youtube inabidi mkate haya matangazo mengine. Otherwise kwa mtu anayefuatilia live
@GbpAud_King
@GbpAud_King 3 месяца назад
Watangazaji wa hii Tv wajitathmini sana..
@zephaniasamio797
@zephaniasamio797 3 месяца назад
Watangazaji vichwa maji..
@m404msigara7
@m404msigara7 2 месяца назад
Hawa jamaa yan.. watangazaji wa hovyo kbsa
@kallylukton
@kallylukton 3 месяца назад
Huyo kuma anapiga makelele
@theoldphilosopher3640
@theoldphilosopher3640 Месяц назад
Mahakama haikutambuliwa wenge la kijana ili kujaribu kumsikiliza nje ya box kupata ushahidi mzuri zaidi
@shabanally6973
@shabanally6973 3 месяца назад
Hawa wadada sometimes wanazngua,,mnamtoa mtu concentration na mikelele hiyo
@user-lm4vh6dr5z
@user-lm4vh6dr5z 3 месяца назад
Mungu alaani uyo mama ape adhabu hapa dunia kabra hajafa
@juniormembe688
@juniormembe688 3 месяца назад
Mungu ni mwema kaka
@hassanihassaninasaba8803
@hassanihassaninasaba8803 26 дней назад
Waandishi wana kiranga sanaa au ndo mtoto wa boss mwenye radio 📻
@Marandomedia
@Marandomedia 3 месяца назад
Before interview andaeni maswali
@neemamlay-om4bb
@neemamlay-om4bb 3 месяца назад
Hii stori inaumizaaa😢😢
@user-mk5yl8kb2f
@user-mk5yl8kb2f 3 месяца назад
Kuna shida kubwa upande wa watangazaji ni kama wameokotwa tu mtaani na kukiongoza au wana act kama kipindi cha udaku/umbea,ndio maana kuna gape kubwa kihisia kati ya waandishi na anaesimulia,kiukweli hawafai kabisa kuwahoji watu au kuongoza kipindi kinachohusu historia ngumu za kweli za maisha ya watu kama hawa.very boring even kwa sisi watazamaji na wasikilizaji Pia.
@mwayamichael5005
@mwayamichael5005 3 месяца назад
Sasa watangazaji mbona kama utoto sasa
@InnocentDalmatianPuppies-vi2zz
@InnocentDalmatianPuppies-vi2zz 3 месяца назад
Mungu ni mwema jmn
@user-ok6km3si7i
@user-ok6km3si7i 3 месяца назад
Watangazaji utazani mashoga ya busa unacheka cheka kama malaya
@peterkanza2207
@peterkanza2207 2 месяца назад
Haya maredio ni kuigana au kukosa akili kwa watangazaji wenu,makelele kibao studio,mnazingua sana.
@ElickJohn-in9dm
@ElickJohn-in9dm 3 месяца назад
😢😢 malipo ni hapa hapa duniani 😢😢😢 Duh!
@user-lj8nk9xd6d
@user-lj8nk9xd6d 3 месяца назад
Stori nzuri..watangazaji not professional. Mnaitervene sana. And so personal
@flimbueni
@flimbueni 3 месяца назад
Ni watangazaji wa hovyo kuwahi kuwasikia kwa karne hii 😢😢😢😢
@brownkira1332
@brownkira1332 3 месяца назад
Watangazaji wahovyo sana mnachekacheka hovyo yani hamjui hata mnafanya nn Kama mpo bar yani sijui mnahoji nn story nzur Ila wanao mhoji sijui radio ya ndugu yenu
@manongichotile3495
@manongichotile3495 3 месяца назад
Ila binadamu aisee duuu,tumuogope Mungu jmn haya mambo yasikie tu
@chuxe-tz221
@chuxe-tz221 3 месяца назад
Radio ya kijingaaa kabisaaa hiii hamuwezi kukuaa kimyaaaa hasa huyo Mariam aisee na huyo zeruzeru
@eliyakibollahombo7407
@eliyakibollahombo7407 3 месяца назад
Watangazaji wanastahili lawama kwa kuingiza maneno mengi yasiyo na maana badilikeni watangazaji.
@bantumtabwa1527
@bantumtabwa1527 3 месяца назад
Nyie watangazaj hamko seriously kwakaz yenu km vle hamjui nn mnafny bn ☹️
@joscomposora7176
@joscomposora7176 3 месяца назад
Watangazaji wanamzinguaa
@amiribakari2124
@amiribakari2124 3 месяца назад
Uyo mm ni ndugu yangu wa damu kabisa ana ukweli wowote mm ni mdogo wangu mtoto wa baba yangu mdogo baba yake alishakufaga na mala ya mwisho alikuwa anakaa mapinga tukamtimua akakimbilia bunju nao shangazi wakamtimua muongo sana uyo achananae uyo
@albertlyimo2812
@albertlyimo2812 3 месяца назад
Kwamba kabaka kweli
@idrisaallysalum9447
@idrisaallysalum9447 3 месяца назад
Unakusudia kusema Nini Sasa? MUONGO "Hajafungwa au Kabaka kweli, au unasemaje"?......mlimtimua huko kwa kosa gani?
@khadijamdoe1601
@khadijamdoe1601 3 месяца назад
hii story itakua ya uongo kweli mana kule kwengin anahadithia vingine 😊
@RubenIbraim
@RubenIbraim 2 месяца назад
Ww AmBAR unamwona muongo tuambie ukweli upoje,lakini ukome kushoboka na stor za watu unge hadisia ww sasa vyakwako
@user-tn8iy2ou6s
@user-tn8iy2ou6s 2 месяца назад
Wewe yawezekana uko upande wa pili mungu huwa hamtupi mja wake
@eliasayubu
@eliasayubu 3 месяца назад
Hii media haifai badilisheni waandishi hawana uzoefu wa uandishi wa taaluma yani wanachekacheka tu
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 месяца назад
Doh! Binaadamu hana huruma kiasi hiki!
@Josung08
@Josung08 2 месяца назад
ma upuuzi sana nyiee mnaboa sanaa
@Josung08
@Josung08 2 месяца назад
wered wa mapresenter mbovu
@jovinmushi4719
@jovinmushi4719 3 месяца назад
Ila hawa watangazaji ni wa ovyo kbs😅
@theoldphilosopher3640
@theoldphilosopher3640 Месяц назад
Viatu vinahusikaje hapa
@isihaqambelwa3559
@isihaqambelwa3559 3 месяца назад
😢😢😢 polesana mwamba
@allygonga
@allygonga 3 месяца назад
Pole sana kaka mungu yupo
@Clevar_Tz8563
@Clevar_Tz8563 3 месяца назад
Muwe mnaweka matangazo mafupi BC maana mnakuwa kama hamjui mnachokifanyaaa 😢
@fatmamasoud572
@fatmamasoud572 3 месяца назад
Kwakwel watangazani hapo studio mmezingua kwakwel
@Sagenda_
@Sagenda_ 3 месяца назад
Watangazaji washamba sana hawajui namna ya kumfanyia interview mtu, yanapiga kelele tu na kuingilia story
@davidsaibu2930
@davidsaibu2930 3 месяца назад
kaen kimya kijana ajielezee
@soilihlouwis8402
@soilihlouwis8402 3 месяца назад
Aa nyinyi mnazinguwa bwan ebu badilisheni MTU anaongeya mnamkatisha
@VuwaiVuwai-eb2zy
@VuwaiVuwai-eb2zy 3 месяца назад
Coment zote zna walaumu watangazaji, ila story imenihuzunisha
@Josung08
@Josung08 2 месяца назад
mna masiala sana watangazaj mpk mtu mnaemfanyia interview ya serious anapotez direction hailef flavour kabs interview yeny uchungu na maumiv mnaeka masiala matangaz meng attention ya wasklzaj inapotea sas punguzen bhn jifunzen kwa wenzen kituo cha redio kiko bomba sana mapresenter ndo tatzo
@willymapunda2716
@willymapunda2716 3 месяца назад
dah stori imenigusa sana ila nimejifunza kitu kikubwa sana
@msangazimsangazipapaandomb8761
@msangazimsangazipapaandomb8761 3 месяца назад
Hawa siyo Watangazaji, ni waingeaji tu.
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 3 месяца назад
Ss mtu km hy kashapotezewa mda na kashazalilishwa nani anamlipa fidia mahakama mbovu zimemuhukumu negative
@salimali-cx9jr
@salimali-cx9jr 3 месяца назад
Watangaji u need to go back for more training on airing programes. Sweet story being spoilt by presenters.
@isayakalinga6475
@isayakalinga6475 3 месяца назад
Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba hii ni radio Kwahiyo matangazo ni muhimu asa kwavile mnaona nyie mnaona kama wanakosea kuleta matangazo😂😂😂😂 Watoa comment acheni ushamba😂😂
@mosktearjonathan9477
@mosktearjonathan9477 3 месяца назад
interview inaendelea mtangazaji anastopisha anakwambia kasahau viatu ngoja akachukue avae ndio mwendeleee, nmecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abuubakar4432
@abuubakar4432 3 месяца назад
Eti , anasema kasahau viatu vyake 😅😅
@TimoJrgibsoni
@TimoJrgibsoni 3 месяца назад
Sema watangazaji munazingua sitori nzuri nyie miyeyusho
@user-qf5xf2zy3i
@user-qf5xf2zy3i 2 месяца назад
Katika vyote ninyi watangazaji nikama hamjielewi nadhani nivyema mkakaa kimya ili ujumbe ufikie watazamaji wenu sasa mnaleta upuuzi mara viatu mara matangazo mara story zenu binafsi je nsawa??
@user-mv2ff7by1r
@user-mv2ff7by1r 3 месяца назад
Hawa watangazaji wana mawenge hatr 😢😢😢 kubabaqeee
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 3 месяца назад
Huyo Jamaa ndiyo maana Kawa zeruzeru unaleta utani sehmu ya huzuni mungu fundi ndiyo maana uko hivyo kama hamuwezi kuhoji mselete mambo ya kuhuzunisha halafu nyie mnaleta utani eti kaloti nimewachukia Sana
@mustafampande173
@mustafampande173 3 месяца назад
ILA HAPA HAMNA WATANGAZAJI 😂😂
@hamisathuman2729
@hamisathuman2729 3 месяца назад
SEMA HAMJUI KUENDA NA MAHOJIANO YAANI NYIE MNATANIA KWENYE HISTORIA YA MAISHA MAGUMU
@AishaOmary-fl8qo
@AishaOmary-fl8qo 3 месяца назад
Jomon kama hatuna maisha ya kuwalipa watu tusiwatumikishe
@justineidomajustine3323
@justineidomajustine3323 2 месяца назад
Hawa watangazaji wanaongea sana 😅
@danielkipeta2355
@danielkipeta2355 2 месяца назад
Kazi mbona nyingi alafu ulikaa kwa mutu akakuletea matatizo Bado tu hujajifunza tafta chumba chako acha ujinga Njoo kijijini tunduma tulime
@alphoncealexander8536
@alphoncealexander8536 3 месяца назад
Hapa hakuna watangazaji kuna wapiga kelele tu
@mwindilandevuzashaba6113
@mwindilandevuzashaba6113 3 месяца назад
Kwaiyo hizo kelele ndio mnahic ndio manjonjo kumbe mna haribuu
@lameckpatrick6541
@lameckpatrick6541 3 месяца назад
Hamna watangazaji hapa
@djaivanofficial8896
@djaivanofficial8896 2 месяца назад
Watangazaji mnaxingua mno, asa mara viatu duuuh. You can't be serious anymore
@michaelkyando9131
@michaelkyando9131 25 дней назад
watangazaji wanakela hawa
@salehsaid4559
@salehsaid4559 3 месяца назад
Watangazaji hamujui apo kijora
@edsonkennedy8027
@edsonkennedy8027 2 месяца назад
yani watangazaji ni takataka mnavochukulia jambo.nyie hata kuhoji mwenyekiti muwezi
@Zanzibar_Drone_View
@Zanzibar_Drone_View 3 месяца назад
Hakuna mtangazaji apo😂
@AminiBungara-cy4pd
@AminiBungara-cy4pd 3 месяца назад
Jalibuni kuomba radhi wasikilizaji mnapo ingiza matangazo
@SalmaSalma-hl6gj
@SalmaSalma-hl6gj 2 месяца назад
Mnakera watangazaj mnapoteza raza ya story
@CostantineAmos
@CostantineAmos 3 месяца назад
Huyo.mama.n Kuni..akifika.mbingun...
@bongatv25
@bongatv25 3 месяца назад
Ikumbukwe doctar kasoma mkomaindo Masasi dadeki
@robertjoseph2841
@robertjoseph2841 3 месяца назад
Hakuna mtangazaji hapo yani uweredi wa kz hakuna
@fadhilially7357
@fadhilially7357 3 месяца назад
YIE WATANGAZAJI WASENGE KWELI MNAPAYUKA KAMA KIKUNDI CHA WAHUNI.
@FilbertMollel
@FilbertMollel 3 месяца назад
Amna watangazaji apo
Далее
Nobody Can Do it🚗❓
00:15
Просмотров 6 млн
OG Buda - Сделай Мне Приятно Щас
02:24