Тёмный

LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 794 тыс.
50% 1

a

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 832   
@mwanaafrika_tz
@mwanaafrika_tz 5 лет назад
Magufuli Hajakosea kukuteuwa Mkuu Wa Mkoa, piga Kaz kwa Haki.
@suldanyareofficial6003
@suldanyareofficial6003 5 лет назад
Walai i feel crying This are the right people God bless this man and Tanzania
@najma3268
@najma3268 5 лет назад
Asante muheshimiwa , haki itendeke milion moja watu wauze nyumba
@muhsinsalum2305
@muhsinsalum2305 5 лет назад
Wehu saana hao. Vipara vikubwa tu
@ericksebastian5159
@ericksebastian5159 5 лет назад
Kwel
@antonykashube2065
@antonykashube2065 5 лет назад
Hapiiiiii. God bless you man. Thanks Hon Magufuli for Hon Hapi.
@deejayrula2548
@deejayrula2548 5 лет назад
i wish tupate viongozi watenda haki kama hawa kenya.
@kirwaisa8772
@kirwaisa8772 5 лет назад
Kazi nzuri mkuu wa Mkoa.i wish Kenyans should emulate such kind of leadership
@justkibet1125
@justkibet1125 4 года назад
Kenya hutawahi ona wakuu wa serikali wakijituma kwa watu. Hongera viongozi wa TZ
@hawaabubakar2619
@hawaabubakar2619 5 лет назад
Nilikua nimetegeya hii sehemu ya pili hongera bro safi kwetu kenya unyanyasaji tele haswa wajane,mackini i salute u Bro Big up from saudi Arabia
@vaniaruta
@vaniaruta 5 лет назад
Magufuli with your team... keep it up ! I believe Julius Kambarage Nyerere in paradise is proud of you ! Touched I am a Rwandan.
@issahketon4719
@issahketon4719 5 лет назад
Baba Mimi Niko Nairobi, pongezi kwa kazi nzuri. Pia huku watufaa
@kietiaziz725
@kietiaziz725 4 года назад
AAm from kenya and am very happy to see this kind of leadership
@wendelipwera7582
@wendelipwera7582 5 лет назад
Asante Kaka Ally Mkoa wangu 💪💪💪💪👌 NMB IRINGA #KAMWENE#
@johanesjofrey2105
@johanesjofrey2105 5 лет назад
Hawa ndio biongozi tunao wahitaji, wachapakazi. Safi sana Ally,
@khamisshariff6600
@khamisshariff6600 5 лет назад
muheshimiwa rais kiongozi kama huyu anatufaa nampa pokezi sana RC
@nurureuben6512
@nurureuben6512 5 лет назад
Kabisa
@medarddotto59
@medarddotto59 5 лет назад
Asante baba tenda haki mungu atakulipa
@Amani715
@Amani715 5 лет назад
Another King Solomon of our day. God may you give him more wisdom
@allymahmoud9951
@allymahmoud9951 5 лет назад
Mkuu wa mkoa hongera sana,tungekupata kama WW Zanzibar tungejivunia sana M,mungu akupe afya njema kwa kazi yako nzr
@lukanadric4491
@lukanadric4491 5 лет назад
gonga like kama unaamini mwanasheria ana GPA ya 0.
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Mwanasheria wa hovyo kabisa .
@mathayoayubu8635
@mathayoayubu8635 5 лет назад
Shikamoo mkuu wa Mkoa umefanya kitu chema saana
@barackabaracka7854
@barackabaracka7854 5 лет назад
Kama umeangali hii video ukajikuta unalia kwa furaha gonga like hapa
@elizabethjames292
@elizabethjames292 5 лет назад
huyu mkuu wa mkoa atumikie miaka yote hadi uzeeheni nimempenda bure
@poureenkunambi6413
@poureenkunambi6413 5 лет назад
Nimefrahi yaaan daaaaaaaa
@dandeenndandeen3047
@dandeenndandeen3047 5 лет назад
Yaan wey ach tu nmelia kw furah n Hurum pia😀😁😢
@emyshaibu8089
@emyshaibu8089 5 лет назад
Hapiii mwa mwa nakupenda bure
@mackinabdalla8417
@mackinabdalla8417 5 лет назад
dogo umekwiva sasa nakufahamu toka unasoma st thomas pale gongolamboto ukonga safi sana kijana
@MUHSINMACHARIA
@MUHSINMACHARIA 8 месяцев назад
I like this like of leadership of TZ.ALLAH BLESS TZ LEADERS
@mwamvuajumanne6090
@mwamvuajumanne6090 5 лет назад
yes hii ndo nchi yangu nnliyoichagua
@stevek8318
@stevek8318 5 лет назад
Uliichagua vipi nchi hii? Labda wewe uwe umehamia tanzania basi umeichagua lakini kama wewe mzaliwa hukua na choice
@abuuqaasim4815
@abuuqaasim4815 4 года назад
Kusema kweli Mh ALI HAPI uko vizuri sana kikazi zaidi kaka big up na wewe ni mfano wa kuigwa,kwa maana hiyo MH MAGUFULI hujakosea kabisa kumteua huyu kijana hongera sana mkuu
@davidpaulmungai5131
@davidpaulmungai5131 2 года назад
Hongera nchi yangu Tanzania,hakika unanukia vzuri.Hongera sana! sana!! Kiongozi,Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu na yawe mema siku zote na akuinue na kukuweka mahali pa wafalme
@edithdickson3090
@edithdickson3090 5 лет назад
Nikiwa namuangali Mh, Hapi Akiwa anatekeleza majukumu yake ya kuwasaidia wanyonge nahisi niko paradiso yaani, Hongera sana M/ mungu akupe maisha marefu tuendelee kunufaika na kipawa alichokujaria M/ mungu.
@AMANIISSA-b5c
@AMANIISSA-b5c 5 месяцев назад
Ongera sana Allya Ape kwa ma'mzi mazuri uliyo yafanya ivi-ndivo viongozi wanapaswa kufanya juu ya Aki ya mwananchi binadamu Acheni zuruma fanyeni uwadirifu katika kazi zenu
@saimonmwansile6101
@saimonmwansile6101 5 лет назад
Big up mkuu ! Hongera pia kwa JPM kwa kumwona Huyu bwana mdogo huyu !
@malikamanara4076
@malikamanara4076 5 лет назад
Mwenyezi mungu ndio mjuzi wa malipo kwako kwautendaji wako wa kazi mzuri na utetezi wako wa hali na mali kwa wanyonge. Mungu akulipe pepo Allahumma Amiin.zaidi ya hili sijaona la kukuombea.
@cypmkutubi3109
@cypmkutubi3109 5 лет назад
Mwenyezi Mungu Akupe cheo zaidi ili uwatetee wanyonge na waja wake kwa ujumla
@boniphaceambwene7568
@boniphaceambwene7568 5 лет назад
inatakiwa pongez
@fatmahmwinyi4061
@fatmahmwinyi4061 5 лет назад
Kwa hili baba wallah hata mungu yupo pamoja na wewe na inshallah atakulindaa...watu wananenepa na kungaa kwa fedha za wenzao tena maskinii...Allah akulindee...
@josphatmbegera1680
@josphatmbegera1680 5 лет назад
I wish TZ was Kenya from this man to president they are doing a good job
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 4 года назад
Asante mkuu wa mkoa unafwata nyendo za magufuli big up xana mungu awe nawe wanyooshe Hao mabwege
@munirdatisha684
@munirdatisha684 4 года назад
Wee noma rc m mungu akuzidishie kuwasaidia wananchi nakupenda sn na kukubali
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 5 лет назад
Kama umemuhurumia hugo meneja wa nmb nipe like hapa
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 8 месяцев назад
Mi nimemuhurumia sana
@imallya6513
@imallya6513 5 лет назад
Mungu ibariki Tanzania, mungu wabariki viongoz wote na raisi magufuli...
@samwelimwinyi9267
@samwelimwinyi9267 5 лет назад
Maandishi hayadanganyi! Respect u RC. HAPI
@WilliamChristopher-dq2vn
@WilliamChristopher-dq2vn 6 месяцев назад
hongera sana mkuu wa mkoa kweli RAISI WETU anao watu wazuri mungu ambariki sana nawewe pia mkuu wamkoa ubarikiwe sana
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 5 лет назад
Eti sipaswi kuwepo eti mwana sheria huyooooo
@bernardkibet
@bernardkibet 4 года назад
Kenya desperately needs such leaders. Hongera Jirani yetu Tanzania
@zainabuahmed5910
@zainabuahmed5910 5 лет назад
Allah akujaalie mkuu. Hizi Bank majanga,wanauza kwa ku deal na brokers na kuna list ya vibopa maarufu kwa kutengeneza deal za kuuza na kuuzia watu maalum ambao na wao huuza. Nasubiria Makonda afuate mkondo nikalitibue na mie.
@janesuma2193
@janesuma2193 5 лет назад
Zainabu Ahmed mim nilikopa finca nikajitahidi kulipa ikabaki shilling lakin na nusu eneo langu la biashara likawa limebomolewa nikawaita finca wakaona nikaenda kwa menega kumuomba wasiniongezee riba niweze lipa lile deni wanipe miez miwi uwiiiiii nilipigwa riba ambayo nilihisi kuchanganyikiwa deni la 150,000 likazaa milion moja hapohapo wakataka kuja kupiga mnada vitu vyangu wakati haviko kwenye zamana
@zainabuahmed5910
@zainabuahmed5910 5 лет назад
@@janesuma2193 Hizi taasisi zinwapigaji kibao nyuma ya Pazia Ktk Bank ambazo ni Rafiki basi Amana Bank. Ukikwama wanakupa njia na sio kukomoa. Hii kazi ya issues za Bank mkuu huyu awe mfano kwenu BOT mliolala, Raisi kawatembelea BOT ila nyie hamtaki kutembelea wananchi wakawapa majanga ya hizi taasisi za fedha,tunajua mna yenu nyuma ya pazia ila kwa Mungu hakuna kubwa
@missmoresa8854
@missmoresa8854 5 лет назад
mungu yupo jamani
@kingimmanuely1007
@kingimmanuely1007 5 лет назад
Zai Nitumie Namba Yako Nitakuchek Hawa Washenz Sana Hata Wanaofanya Valuation Hua Wakiiiba Nakueka Bei Fake Bot Wanawasave Sana
@cjrtz
@cjrtz 3 года назад
Zey ukalitibue
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Hongera Muheshimiwa Kwa Kazi nzuri,Hawa ndio Wanyanyasaji,Mwanasheria hajielewi,Meneja Hajitambui.
@safari5774
@safari5774 Год назад
Napenda sana uongozi wako God bless you so much we need such leader in Kenya
@dismasdonald745
@dismasdonald745 5 лет назад
Ilitakiwa na Mwanza tupate mkuu wa mkoa kama huyu!!! Dah! Namuelewa sana Hapi! Fantastic
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 2 года назад
nyonge mnyongeni haki yake mpeni Ali happy alifanya kazi nzuri saiv watu hawayaoni
@stephanomchenya6344
@stephanomchenya6344 5 лет назад
Tanzania tulifikia pambaya sana asante mangufuli asante mkuu wa mkoa
@elizabethsimemba5146
@elizabethsimemba5146 5 лет назад
Stephano Mchenya 5
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 лет назад
Sana.yena ilioza tanzania
@ramadhanyusuph9269
@ramadhanyusuph9269 5 лет назад
@@hashmumwamedi296 mvbh ycnj
@MohammedAli-up6cu
@MohammedAli-up6cu 4 года назад
Kwamuda mrefu sana wanyonge wamekua wakidhulumiwa,na hawakupata wakumlilia,,,hongera mhe,RC kwakufichua uovu huu,,,naomba uzidi kufuatilia,Kuna maouvu makubwa kuliko hayo.
@collooloo1074
@collooloo1074 5 лет назад
We need some brilliant people like this in kenya
@bahatifrank4869
@bahatifrank4869 5 лет назад
Mungu akubariki sana, tunatamani na sehemu zingine haki itendeke hivyo
@waitbird6549
@waitbird6549 5 лет назад
BAHATI FRANK z Bof
@uledihassan6065
@uledihassan6065 5 лет назад
Ni vigumu kuongea fact mbele ya mtawala anaetafuta kiki
@riz00rajebo82
@riz00rajebo82 5 лет назад
Muheshimiwa ningekupata mm huwe mume wangu ingependeza +254
@johnmkunde873
@johnmkunde873 5 лет назад
Kama uwongozi ndio huu basi kweli nimeamini kwann mflame suleiman aliomba hekima na busara katika kuamuwa aamuzi yake
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Nampenda huyu DC mpk bas Mungu ampe umri mrefu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Mohamedali-gr2ex
@Mohamedali-gr2ex 5 лет назад
Asante kaka umefaya zizuri Nigependa kukuja Tanzania
@jamesassanga9220
@jamesassanga9220 2 года назад
Kwa kweli hii nimeupenda, I wish to be like this man in leadership
@nahashaban5610
@nahashaban5610 5 лет назад
Kweli naikubali serikali yangu Kwa kazi wanayoifanya ya kutete wanyonge na kuitimiza sheria ipasavyo.Hongera mheshimiwa
@aishaomary732
@aishaomary732 5 лет назад
upo vizuri mkuu hii ndio Tanzania yetu hakika kula yangu haijafanya makosa
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
Huyu mkuu kamzidi hata wa dar sasa kwa kazi daa nimempenda kweli kweli
@emelianashauri8350
@emelianashauri8350 5 лет назад
chris massawe dih
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 лет назад
Hongera tunataka viongozi kama. Hawa wanaowajibika na haki za wanyonge
@franceslenis4512
@franceslenis4512 5 лет назад
This government is the best if it would be in Europe or america the world could appreciate I wish Tanzanians and Africans become the fans to this gvnt and learn something
@irenejoseph6684
@irenejoseph6684 4 года назад
Nimekukumbali baba wewe ndo kiongozi bora maguful tunashukuru mngu kupat kiongoz bora 😍💪💪💪💪💪💪
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 3 года назад
Hapi Iringa ubaki mpaka kustaafu kwako usiondoke wewe ni Mwanairinga mwenzetu maana unaonyesha uzalendo wa kweli kweli. Asante sana.
@سالمالسعدي-ز9ج
@سالمالسعدي-ز9ج 5 лет назад
Eeh mungu shusa viongozi wa haina hii kenya watu wanyambishwe kwelikweli
@kacheali4777
@kacheali4777 5 лет назад
Hak ya Mungu sijui n nani atakomboa wanyonge Kenya Mungu sikia kilio chetu..ndio maana sipend mambo ya mikopo heri nijenge miaka kumi..mawakili n wafanyikaz wa benk waiz kaa nn.
@janesuma2193
@janesuma2193 5 лет назад
سالم السعدي atawapa tu wakati ukifika ila ni wakati wa Africa kubadilika wananchi wanaumizwa sana karibu kwetu Tanzania ndugu yetu Jiran yetu
@ibrahamessiah360
@ibrahamessiah360 Год назад
Just like waooooo excellent job. ivi huyu mweshimiwa kwasasa yupo mkoa gan jani
@kajjd40
@kajjd40 5 лет назад
Nakukubali sana mkuu wangu wazaman Wa kinondoni kazi kazi Ali hapi 💪👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@zefamange7281
@zefamange7281 5 лет назад
ALLY HAP WEWE NI AINA YA WAKUU WA MIKOA WANAOFIT KATIKA AWAMU YA JPM. HONGERA DOGO
@yelamasele5888
@yelamasele5888 5 лет назад
Safi babaaa tunataka uwe rais baada ya kmaliza magufulii
@odarickmenard9107
@odarickmenard9107 5 лет назад
Yela Masele mkoa wa Songwe mkuu wa mkoa afanye ivyo ivyo haki za watu zimepotea sana na wengi wamekufa sababu za pesa izo
@emanueluledi5616
@emanueluledi5616 5 лет назад
Viongozi kama awa ni muhimu sana ktk Tanzania yetu ahsante mkuu wa mkoa
@dandeenndandeen3047
@dandeenndandeen3047 5 лет назад
Safi sana mkuu ningekuw karib nmekupig bisu😁 nic job muheshimiw mung akupe nguvu na afya njema 😍😘😘 wameshajinyea hapo maskin
@zuhraali8569
@zuhraali8569 5 лет назад
Am in love with mkuu wa mkoa! 😍😁🤗 congratulations to this man on how he handled this whole case!
@kandidosamwel3030
@kandidosamwel3030 5 лет назад
Mungu wape nini wakazi wa iringa RC mnayo hapo mwenye speed ya JPM yani kama JPM kimaàmuzi ya papo hapo likê hapa kama nawe umemkubali RC
@allyabeid4188
@allyabeid4188 5 лет назад
Baba nakupenda natamani nikuone ata sura tu mungu akupe maisha marefu
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 5 лет назад
Tanzania ya haki inaanza kutendewa kazi sasa asante mh Dc
@abdilahibg8794
@abdilahibg8794 3 года назад
I came across this clip in 2021 August..I can authotorively say this RC is Late Magafuli reincarnated.kumbe Tanzania hajaishiwa na magafuli?! Kudos from Kenya
@rosekazaula2557
@rosekazaula2557 5 лет назад
Yaan mpaka machozi yamenitoka mnamdhulumu mjane waziwazi Mungu akupiganie Ally
@nuraakram1025
@nuraakram1025 4 месяца назад
Kazi safi watching from kenya
@oliviakemuto1412
@oliviakemuto1412 5 лет назад
Mimi naona nikihama kenya niende kuishi Tanzania kuzuri bhana
@luluamri370
@luluamri370 5 лет назад
Karibu 🤣🤣🤣
@fatmahmwinyi4061
@fatmahmwinyi4061 5 лет назад
Sana nakuna amanii telee
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 года назад
Jesus protect this man kiongozi aliye tumwa na mungu pepo yako iko wazi baba
@alpheondanzi2544
@alpheondanzi2544 5 лет назад
Mhe:Mkuu wa mkoa Wa iringa Ally Happy Iringa tumepata Neema Sana tunajivunia tunu yetu Karibu tena #mafingaTz
@maligisadotto8631
@maligisadotto8631 5 лет назад
Tunakuombea Mkuu wa Mkoa, Mhe. Hapi Mungu akubariki, aendelee kukulinda ili uendelee kuijenga nchi yetu ya Tanzania.
@VictorKivuyo
@VictorKivuyo 7 месяцев назад
HAAPIIIIIIIIIIII💯👍👍👍👍👍👍,MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@annetiadyeri5638
@annetiadyeri5638 6 месяцев назад
Makofuli Aliacha watoto mungu ababariki tunafurahi kwakazi zenu❤❤❤
@secylovenessadaa4245
@secylovenessadaa4245 5 лет назад
Hongera sana mheshimiwa ,I'm watching from Nairobi Kenya
@tusekilemwakatobe1262
@tusekilemwakatobe1262 5 лет назад
Mheshimiwa Ally hapi nimekupenda sana mungu angetushushia viongozi hata kumi kama were nadhani tungekuwa tunatamalaki tu
@martinamarugu44
@martinamarugu44 6 месяцев назад
Sijawahi fatilia habari zako. Nimekupenda Bure be blessed
@omaniallybakari2372
@omaniallybakari2372 5 лет назад
Ewe mwenyezi mungu wape nguvu viongoz wote wasmamiao haki kila LA kher muheshimiwa mungu akuongoze katka safar yako
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 4 года назад
Haya ndotunayo yataka hapa tanzania big up ally hapi mkuu wa mkoa wa iringa
@mariamabdull4134
@mariamabdull4134 5 лет назад
Mungu akuzidishie afyanjema mh. Ally Hapy
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 5 лет назад
Hongera Magufuri Rais wangu mpendwa!
@ramadhanilsmailkiponza3692
@ramadhanilsmailkiponza3692 2 года назад
Happi Ally ulifanya kazi hongera kwa hili.
@tinagorges3741
@tinagorges3741 5 лет назад
Jamani muogopeni mungu dhulma siyo nzurii mnauza nyumbaya mjane bilayawoga shukran muheshimiwa bilayawewe .alisha.dhulumiwa ubarikiwe sanaa
@queenhusna204
@queenhusna204 4 года назад
Yani nampenda uyuuu MH adi naliaa wanafanan sana utendaji wao kaz na MH JONNY POMBE MAGUFUL
@marymabubakar1646
@marymabubakar1646 4 года назад
Magufuli,juuuuuuuuu,juu,zaidiii
@stephenkasigara7070
@stephenkasigara7070 5 лет назад
Safi sana Mh.Hapi.
@norafrowin1748
@norafrowin1748 4 года назад
Team Ally Hapi wenzangu mko wapi ? Like twendeni sawa,Ally Hapi oyeeeeeeeeeeee
@thobiasbolen2496
@thobiasbolen2496 5 лет назад
I wish they were granted the greatness power. My God help them
@edwinwafula3258
@edwinwafula3258 Год назад
usione wembam na wa reli gari Moshi hupita,mkuu wa mkoo mdogo kimwili lakini amekomaa kiakili,ungekuwa Kenya bwana mdogo tungepata nafuu baba,Kenya wezi ajabu.congrats men
@boazjoseph2565
@boazjoseph2565 5 лет назад
Kaka umenigusa sana kwenye moyo kwa kazi nzuri,wewe ni bingwa aisee
@samweldaniel9789
@samweldaniel9789 3 года назад
Kuna Bank inakopesha kwa dhamana ya Makochi na makabati kweli????
@mimahlopez5759
@mimahlopez5759 5 лет назад
Mungu azidi kukupa ulinzi katika kazi ya haki unayo ipigania
@clemencesekabigwa5895
@clemencesekabigwa5895 5 лет назад
Mwenyezi mungu akubaliki sana umesimamia haki hicho ndicho kinachotakiwa kazi njema bro.
@maryclaralema2577
@maryclaralema2577 5 лет назад
Asante Sana mkuu wa mkoa mungu akubariki kwa kutetea haki ya wanyonge
@biashaallyally3701
@biashaallyally3701 4 года назад
Huyu mkuu wa mkoa gani jaman mmm nimempenda sana kweli magu kafanya kazi zur sana kukuweka shikamoooo popote ulipo
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 5 лет назад
Chapa kazi muheshimiwa na hongera sana.
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 лет назад
YANI HUYU MKUU WAMKIWA KIBOKO YA WANAFIKI TUNGEKUWA NA VINGOZI KAMA HAWA KUSINGEKUWA NA UONEVU KWA NYONGE UNAFANYA KAZI INAVOTAKIWA UBARIKIWE KAKA❤❤💪
@jumbelbrownman1295
@jumbelbrownman1295 5 лет назад
Hii nchi inahtaj tubadilishe FIKRA ZETU ili tuendelee vyema km TAIFA...BRAVOO RC!!
@sittangeleja8891
@sittangeleja8891 5 лет назад
hongera sana rc hiyo ndyo kaz sikukaa tu maofcn
@zawadihalahala6193
@zawadihalahala6193 5 лет назад
Safi sana nchi ii ingekuwa nawatenda haki kama nyie tungefika mbali sana Mungu akubaliki sana
@modestmassawe_tangatz
@modestmassawe_tangatz 5 лет назад
Safi sana kiongoz anapaswa kuwa wa watu
Далее
Women's Defending + Men's 😮‍💨❌
00:20
Просмотров 1,2 млн
Hurricane Milton: Storm damage in Fort Myers, Fla.
01:05
Обыкновенное чудо
00:48
Просмотров 834 тыс.
KIZAAZAA CHA RC MWANRI KWA DEREVA ALIYEGONGA MTI WAKE
5:04
Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA
53:22
Women's Defending + Men's 😮‍💨❌
00:20
Просмотров 1,2 млн