Тёмный

LIVE | UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA - 20/05/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Fuatilia Matangazo Mbashara ya Uzinduzi wa Jengo Jipya la Ikulu ya Chamwino Dodoma, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza shughuli hiyo.
#AzamTVUpdates #AzamNews

Опубликовано:

 

19 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@akilichristopher3202
@akilichristopher3202 Год назад
Hongera sana bella
@tamimumzamilu2726
@tamimumzamilu2726 Год назад
Hongera watanzania
@musamshema7838
@musamshema7838 Год назад
Ilitakiwa picha za JPM ziwekwe kwenye kilakona ya Dodoma
@kubewaiddy9088
@kubewaiddy9088 Год назад
Watu wa bustani mbona wanafeli hapo panatakiwa papigwe maji pawe kijani
@abdilahjuma2493
@abdilahjuma2493 Год назад
Nafikiri huku ndani pasingeoneshwa sio kila mtu ajue ikulu ikoje
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Год назад
Huyu anajikutaga kama rais
@musamshema7838
@musamshema7838 Год назад
AHSANTE JPM,,KAZINZURI YA HAYATI MAGUFULI, NCHIYETU INGEKUWA NA MARAISI KAMA JPM INGEFIKAMBALISANA.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
Mrisho Mpoto hajamueleza vizuri bali kamsema kapunje kadogo msukuumaji wa maono ya Nyerere ambaye ni Magufuli. sikutegemea kwa kweli
@kaisimwantindili397
@kaisimwantindili397 Год назад
ASNTE, JPM KWA NDOTO ZAKO, MWENDO UMEUMALIZA NDOTO UMEITEKELEZA ,,
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc Год назад
Nurdin umemmaliza Marehemu Marini Hassan Kwa atakae sikia simulizi hii katikati bila kuanza mwanzoni si hasha akajiuliza ni kipindi kilichorekodiwa enzi za uhai wa marehemu (Marini)
@selemanihamisi6648
@selemanihamisi6648 8 дней назад
jamaa anajuaa kunogeshaa simuliziii nimependaa
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 месяца назад
Nyerere was a diplomacy, alipoamua matawi yote ya TANU kulijadiri alikuwa ana-wa-empower watanzania wote. Baadhi ya watu wanafikiri yeye binafsi ndiye aliyefanya uamuzi huo na wengi hawakumwelewa na wakiwemo baadhi ya wapinzani wapiga madebe tupu. Mwinyi, Mkapa, na Kikwete walitoa mchango wao lakini wakashindwa kufikia pale JPM aliweza kufikia na Mama anamalizia yale yalianzishwa na mwasisi wa nchi yetu. Nashukuru mama umeweza kumuenzi JPM na kuimaliza hii kazi. Dodoma ni pazuri sana, watu sasa hivi ukiwaambia warudi Dar hawapendi kabisa.
Далее