Тёмный

MAKONDA;KUANZIA LEO WEWE SIYO KAIMU TENA MKURUGENZI TAFUTA KAIMU MWINGINE/TUSILETEANE UJINGA 

JAMBO TV
Подписаться 899 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

27 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es Месяц назад
Mh.Makonda ana Ufanisi mkubwa sana ni zaidi ya Hakimu
@nathanaeledward5613
@nathanaeledward5613 Месяц назад
Hongera sana makonda kwa kaz nzr
@XaveryMwasamwene
@XaveryMwasamwene Месяц назад
Mwenyezi Mungu akupe maisha malefu kiongozi mteule wa mungu MAKONDA.🌹🥀🌺🌸💮🏵️🌹pokea maua yako.
@silvanusmyovela6545
@silvanusmyovela6545 Месяц назад
Makonda Magufuli mtupu.wakilisha baba
@fhugghi4109
@fhugghi4109 Месяц назад
Mungu akulinde RC makonda utakuwa Rais wa baadae kwa uwezo wa Mungu 🤲
@jamesswai1683
@jamesswai1683 Месяц назад
Mungu aepushie mbali...hafai
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 Месяц назад
Hapa shida elimu au hawajui wanachofanya au ni upigaji ndio umezidi hapa hii serekali inahitaji watu sahihi sio elimu na hofu ya Mungu
@nurdinkassim
@nurdinkassim Месяц назад
We makonda chapa KAZI hivyo ndivyo watu tunavyotaka usipowe hakika wewe mtumishi wetu waukweli
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Месяц назад
Halafu anatokea mpumbavu mmoja anaropoka ety Makonda hafai kuwa kiongozi, mshindwe na mlegee wajinga wote masiompenda Mh P Makonda
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Месяц назад
Chapa kazi baba makonda watanzania tupo nyuma yako tunakupenda sana hasa sisi wanyongee ila huyo alofutwa anasitahilianajibu tu kidharau dharau ndiyo kilichomponzaaa daa pole
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 Месяц назад
Natamani uwe nafasi ya kitaifa, Mh Makonda🎉🎉🎉
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 14 дней назад
Kwasababu anasikiliza kero zilizo sababushwa na ccm 😂😂😂 pole sana kama makonda angekuwa analitakia mema taifa basi angekuwa mstari wa mbele kudai katiba mpya itakayo weka mfumo bora wa kuongoza nchi lakini cha ajabu anaona kero nyingi zinazo wakumba wananchi zinatokana na mfumo mbovu wa katiba hii ya 1977 manake ukiona kiongozi hadai katiba mpya ujue yupo kimasilahi na sio kuongoza nchi kwa misingi ya haki. kama ni kero imeletwa na katiba mbovu kwanini asikubali kuleta mabadiliko ya katiba mpya lkn bado wameng'angania katiba iliyopo kwajili ya maslahi ya matumbo yao
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Месяц назад
MB zangu sisijutiii kwa mh: PO MAKONDA
@user-vp1zu3fb5w
@user-vp1zu3fb5w Месяц назад
MUNGU AKUONGEZEE MAISHA MAREFU MAKONDA MIKOA MINGINE INA MADUDU MENGI LAKINI HATUONI WAKUU WA MIKOA WAKIHANGAIKIA SHIDA ZA WATU,
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Месяц назад
Yani wakuu wa mikoa igeni ya makonda ata kwa wiki kusikiliza kelo za wanannchi mama aliwachagua ili muwasikilize wanannchi
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Месяц назад
Walivyokuja na dharau hawawezi kuiga zaidi ya kuvaa Tai tu
@abednego3876
@abednego3876 Месяц назад
Kwaii Tanzani RC ni mmoja tu.
@SebaMbilinyi
@SebaMbilinyi 13 дней назад
L😊l
@SebaMbilinyi
@SebaMbilinyi 13 дней назад
😊
@abrahmanabdallah8479
@abrahmanabdallah8479 Месяц назад
Mwenyekiti wa mji mdogo nimemuhurunia 😢😢😢
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 Месяц назад
Makonda ndio habari ya Mjini.
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u Месяц назад
Wanacheza mh makonda
@SulemaniKisoma
@SulemaniKisoma 13 дней назад
Hongeraaaa sanaaaaa kwaufanisiii
@DorikasiMwakabela
@DorikasiMwakabela 28 дней назад
Hekima yako Ni nzuli hapo makonda Ni rushwa najua hutaki kunyosha Kuna rushwa Sana nchi hii
@martinakyoo148
@martinakyoo148 20 дней назад
Ukihojiwa na Mh Makonda ujipange kweli kweli
@Christopherjohnkaira
@Christopherjohnkaira Месяц назад
Katika ma rc tz ni wa arusha tabora agrey chalamira na wa mbeya bc
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
Kwaiyo unataka kila rc atembee na camera kila ziara wengine hawapendi kujikweza
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 Месяц назад
​@@ramadhanmahongole9293tatizo ni camera au utendaji kazi
@sanduulemo
@sanduulemo Месяц назад
Ndio maana ajira ziankuwa ngumu sana watu wanapewa kazi kwa kujuana uwezo wa utendaji ni mdogo sana!
@user-dx5nn8xi4x
@user-dx5nn8xi4x 21 день назад
Kaka tumekubali kazi unaiweza
@gwamakajohn7122
@gwamakajohn7122 15 дней назад
Huyu makonda anafanya kz hakika
@faithlutainulwa3832
@faithlutainulwa3832 21 день назад
Makonda hoyeeee!
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Месяц назад
Hão ndio wanaosoje WA Kwa magendo na ndugu são kumbe shuleni walikuwa mabooza,pamepitapita Kwa rushwatu
@Piscesblair
@Piscesblair Месяц назад
Ipo haja yakutumia utaratibu huu katika kesi zisizoisha katika Mahakama zetu.
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 14 дней назад
Acha waisome Namba Eee
@elizageorge2414
@elizageorge2414 Месяц назад
Yaani maendeleo ya sehemu nyingingine yawakilishwe na mtu mwingine. Makonda oyeee. Wajanja hao
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 17 дней назад
Kumbe Nchi hii inahitaji uongozi wa aina hii ya Makonda Nakumbuka kauri ya hayati Rais Mwinyi aliwahi kutamka kuwa "kumbe Rais Magufuri ndiye Rais anayejua kazi yake sisi wengine tulikuwa tunacheza tu" Na Mimi nasema kumbe RC wa ukweli ni Makonda wengine wanacheza tu"
@SAMPonda
@SAMPonda Месяц назад
Ukifanikiwa kujibu maswali ma 5 ya makonda kwa ufasaha bas upo kwenye hati hati ya kuwajibika
@danielkanso
@danielkanso Месяц назад
Kuna kazi nchi hii ndiyo maana watu dhihirisha kuichoka chama kwa sababu ya mambo haya lakini kila korna ya nchi usimamizi ungekuwa hivi basi kelele ingekuwa siyo ilivyo kwa sasa hapa sasa tupo na makonda angalau kidogo
@latifamohamed2171
@latifamohamed2171 26 дней назад
Safiiii saaanaaaaa
@keffaonchiri7813
@keffaonchiri7813 26 дней назад
Eeeee Makonda ni kiboko cha waliokondeshwa na halimashauli,Makonda hoyeeeee!
@Piscesblair
@Piscesblair Месяц назад
Viongozi wengine wa Serikali wafuate utaratibu wako wa uongozi baada ya mifumo ya utoaji haki kufeli.
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 23 дня назад
Piga kazi kaka
@user-xf4qs5ti5m
@user-xf4qs5ti5m Месяц назад
Dalali huyoo😂
@farajaamon9101
@farajaamon9101 Месяц назад
Nchi kichefuchefu sana hii, tukitaka katiba mpya mnapinga
@user-jx9xc6vo9x
@user-jx9xc6vo9x 19 дней назад
Ndio
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 Месяц назад
Hiyo ndio Tanzania
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 Месяц назад
Huyo Mwanasheria kama anaogopa vile
@hubertmwemezi8426
@hubertmwemezi8426 Месяц назад
Mkurugenzi anaongea kwa kujiamini Sana uo ndo uanaume
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u Месяц назад
Kila mtu Tanzania Ako na mwanasheria, 🫢🫢🫢🫢🫢🫢
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Месяц назад
Hawa jamaa mbona vilaza sana mwanasheria ujui kesi ulizoahinda kweli da unatuangusha sana na fani uite dei haki mmesoma wapi hizo degree zenu jamani amna uchungu na nchi hii na wanannchi tendeni haki sio mnawaza rushwa tu ondoa hao hata mkurugenzi naye sio competent sijui nani anawapa
@mwanahawanyambi9440
@mwanahawanyambi9440 Месяц назад
Ila Arusha Ina uovu jamani
@gmknews7929
@gmknews7929 Месяц назад
Mwanassheria kayatimba usera mwingi na utoz mwingi
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 Месяц назад
Apo kWa suala la shule na almashauri kuna utapeli
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Месяц назад
Kamata hao
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Месяц назад
Na la vibanda si la eneo moja mhe RC Makonda jamani. Ni la nchi nzima kwenye utawala wa JPM. Mwananchi anajenga si aje anyan'ganywe hata muda huo ukiisha . Hivyo kwa kifupi mgogoro ni wa waliojenga vibanda kunyan'ganywa ambapo vinatakiwa kurudi kwa waliovijenga nchi nzima mhe RC Makonda.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
Umeenda kusikiliza kero za wananchi badala yake unatumia mda mwingi kuwa hoji watumishi wa umma ambao unaweza kuwaita ofisini kwako na kuwahoji huko ni kupoteza mda wa wananchi
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 Месяц назад
Wewe nae ni mmoja wa majambazi katika utumishi wa umma mtakula spaner mpaka mnyooke mbavuuuu😢
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
@@careenpatrick2759 hahahahaa pole sana kwaiyo kwa akili zako finyu unazani makonda anatatua kero za hahaha poleni sana wajinga mwenzenu ana tengeneza kiki za kunipa umaarufu kama kweli angekuwa hataki wezi na wala rushwa angedai kwanza katiba mpya ambayo italeta maadili ya viongozi lkn yote ya kudai katiba mpya na bora hazungumzii badala yake ana fanya maigizo ya kutatua kero ambazo zimetengenezwa na katiba mbovu ya 1977 ambayo makonda anataka iendelee kuwepo zindukeni nyie hiyo mwenzenu ni sawa na watu wanaojifanya mitume na manabii wanafanya utapeli kwa njia za kuponya watu makanisa yao huwa yana jaa ndivyo ilivyo style ya makonda ameshagundua watanzania wengi wana matatizo mengi yaliyo sababishwa na katiba mbovu hivyo ameshagundua mbinu ya kusikiliza kero inaungwa mkono na wanyonge wengi walio onewa na serikali ya ccm kwaiyo anatumia udhaifu huo kujipa umaarufu na wengi wasiojitambua wanaona ni kiongozi mzuri. angekuwa kiongozi mzuri angekuwa mzarendo wa kudai katiba mpya ambayo italeta maadili kwa viongozi wa umma na sio kusikiliza kero ambazo zina sababishwa na katiba na serikali ya ccm
@mwonajeremia5323
@mwonajeremia5323 Месяц назад
inasikitisha sana kama na wewe ni mtumishi wa umma😢😢.sasa unataka asikilize kero za wananchi afu aziandike kwenye simu yake au?? Hawo watumishi janja janja kama wewe wapo kwaajili ya kujibu tuuma zinazotolewa na wananchi😮. na mwenyezi Mungu hatomuacha kamwe ni Lazima aje awe Rais wa Nchi hii ili hawanyooshe zaidi
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
@@careenpatrick2759 izo ni kiki tu kama kweli makonda hataki rushwa na wizi wa pesa za umma angeunga mkono kudai katiba mpya ya kisasa itakayo linda maadili ya viongozi wa umma hata hizo ziara za kusikiliza kero zisingekuwepo hao viongozi wa umma wangefanya kazi kwa hofu maana katiba mpya ingebadili mfumo wote wa usimamizi wa mali za umma tofauti na sasa katiba imewapa uhuru wa kufanya watakavyo
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
@@mwonajeremia5323 hahahaa kwaiyo nawewe umerizishwa na hayo maigizo ya makonda kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja? yani anaenda Namanga kusikiliza kero za wananchi wanajitokeza wananchi 200 wenye kero mbalimbali halafu anakuja makonda anasikiliza kero 5 wananchi 195 wanarudi nyumbani na matatizo yao hapo unaona ni sahihi? mii naona makonda ningemuunga mkono kama angesimamia haki ya kudai katiba mpya ambayo italeta mfumo mpya wa kujitawala tofauti na mfumo huu wa katiba ya 1977 ambao umatengeneza matatizo mengi kwa wananchi kukosa haki zao ndomana unakuta siku hadi siku kero za wananchi tanzania zinazidi kuongezeka siku hadi siku mwarobaini ni kuleta katiba mpya yenye mfumo mpya wa kujitawala hizo kero zote zitaisha
@Christopherjohnkaira
@Christopherjohnkaira Месяц назад
Mtaamia wote uko nin maana ya mji mdogo mna mkoa mwingine
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
🤣🤣🤣🤣🤣 kimeumana
@Gloria-vh5bz
@Gloria-vh5bz 19 дней назад
Wabongo akili zetu km watoto,tushapumbazwa na kusahau nduguzetu waliopotezewa maisha na Hawa viumbe saizi tunawaita Hero,mara rais ajae ,Haya mi nalilia bado damu za nduguzangu wakina benyy Sanane ,hawa mahero wenu wakiwatekelezea mnayotaka mkiwapa urais Basi mtaniamsha nalala😂
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 18 дней назад
Peleka ushahidi mahakamani wakamatwe. Sisi hatuna ushahidi usituone watoto
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 Месяц назад
Mzee Masai au?
@user-gx4vx5ru2u
@user-gx4vx5ru2u Месяц назад
Kwani masai co mtu au
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 Месяц назад
@@user-gx4vx5ru2ukiswahili chake sisemi si binadamu
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Месяц назад
Wevi hão peleja gerezaniwamezoea kuibia wananchimajambazi hao
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u Месяц назад
Tuulizeni sisi wakenya mji mdogo ni nini, ...ssi wakenya yaani tunawasikizaga mkitaja mkuu sijui mwenyekiti, sijui nani .....weee Tanzania kazi mnayo kwakweli.
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u Месяц назад
Kata,saba, vijiji Tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Месяц назад
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
Далее
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
Просмотров 73 тыс.
Кто понял тот понял
00:24
Просмотров 442 тыс.
HOW DID SHE WIN??
00:49
Просмотров 16 млн
The must-watch moments of the CNN Presidential Debate
35:29
LIVE: Rajya Sabha proceedings
2:25:08
Просмотров 5 тыс.