Тёмный

NABII MKUU KUTINGA BUNGENI KWA MWALIKO MAALUM - GeorDavie TV 

GeorDavie TV
Подписаться 244 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Опубликовано:

 

21 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@EmanuelNnko
@EmanuelNnko Месяц назад
Bg up sana kwako nabii mkuu kwa unayoyafanya kutafuta waliopotea
@derickcowly6681
@derickcowly6681 10 месяцев назад
Umeanza tena kuonyesha tena show kama kawaida yako ulianza na show ya mavazi kanisani na sasa unaleta Wabunge ambao wameingiza setikali yetu kwenye matatizo Nabii Mkuu ni Yesu peke yake uyo ni Shetani Mtoto
@salomejilanakupendayesubes9392
@salomejilanakupendayesubes9392 8 месяцев назад
Ameni dady MUNGU akutunze baba uishi miaka mingi ili undelee kutuhudumia watanzania na dunia nzima kwaujumla
@Dorcasfoundation
@Dorcasfoundation 9 месяцев назад
Mungu ni mwema sana. Baba na tamani nije Arusha ❤🎉😊
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 9 месяцев назад
Namkubari nabii mungu akutie nguvu akuongezee miaka mia ila nasisi tunakukaribisha geita
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 10 месяцев назад
Yaani baba nabii Huwa nafatilia sana klip zako. Nikomboe nami baba. Mi mzaliwa wa mbeya .naitaji kufunguliwa
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 10 месяцев назад
Baba Nabii mkuu, unafanya kazi nzuri sana.Mungu akubariki sana , unaupendo sana kwa Watanzania, nchi yako. Heshima yako Baba nabii 💕💕🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 10 месяцев назад
Mh!!!!
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 10 месяцев назад
Yaani tulidhani tumeukwepa mtego na ukoloni wa wazungu kwa jina la kanisa yani ukoloni hulehule wazungu wamewapisha weusi kuendeleza ukoloni kwa jina la yesu
@user-ye9lf4mg6g
@user-ye9lf4mg6g 9 месяцев назад
Shalom nabarikiwa sana na mahubiri yako na jinsi mungu anavyo kutumia kutufungua nikiwa kenya
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 9 месяцев назад
This is to much may lord bless you so much
@frankbangimoto3462
@frankbangimoto3462 10 месяцев назад
Tumuitaji Mungu ili tupate kibali cha kufanya siasa. Hivyo Mungu yupo pia katika siasa.
@braymwakaburufu1130
@braymwakaburufu1130 10 месяцев назад
Amen amen,tuna barikiwa na maono yako,mungu azidi kukuinua.
@user-fv7kg6zf1e
@user-fv7kg6zf1e 10 месяцев назад
Kazi nzuri Sana unayoifanya Nabii mkuu
@egidiusananias1260
@egidiusananias1260 10 месяцев назад
Haya mambo yote yatatolewa hasabu siku ya hukumu nyie mchezeeni Mungu kama mandazi
@philipomashaka
@philipomashaka 10 месяцев назад
Unamaana gani😊 🙄
@SamweliEzekiel-ks7sl
@SamweliEzekiel-ks7sl 10 месяцев назад
Kwenda uko ujielewi
@user-mg9yc3zy2q
@user-mg9yc3zy2q 10 месяцев назад
Mm nimekuelewa maana Wana macho lkn hawaoni
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 10 месяцев назад
Hbr n andko LP husema LILILOTUKUKA KWA WANADAM KWA MUNGU NI CHUKIZO?
@AmiriJuma-xd6xb
@AmiriJuma-xd6xb 10 месяцев назад
🎉🎉🎉
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 10 месяцев назад
Nabii uko vizuri nakuombea upate maomgezeko zaidi
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 10 месяцев назад
Amen.Amen akaribie kabisa Glory to God
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 10 месяцев назад
God bless you Mh. Mirisho Gambo
@stephenmunyao2787
@stephenmunyao2787 10 месяцев назад
Baba naomba uniombee nipate kufunguliwa Ameni
@samwelmollel602
@samwelmollel602 10 месяцев назад
Amina tunashukuru
@Dorcasfoundation
@Dorcasfoundation 9 месяцев назад
Shalom Baba ❤🎉
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 9 месяцев назад
Ningefika kule ngurumo la upako ningebarikiwa
@nurumollel5988
@nurumollel5988 10 месяцев назад
Mungu ni Mwema
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 10 месяцев назад
Amen yaliyoendele nimeyapenda in yah I'm watu mungu amewatembelea
@jonathanbrayson6946
@jonathanbrayson6946 9 месяцев назад
Amina tuko pamoja
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 9 месяцев назад
Amen, Amen.Hallelujah
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 10 месяцев назад
MBONA WEWE JOE DAVI HUNA MATATIZO YA KUPAMBANA NA KUWATUKANA VIONGOZI WA SEREKALI NA SEREKALI KAMA WALE WAKINA MMBARIKWA!!
@peterchesam5737
@peterchesam5737 10 месяцев назад
Sio yeye tatizo PESA tafuta PESA na sio Hela
@JohnNikodem-ts1nz
@JohnNikodem-ts1nz 10 месяцев назад
Mbarikiwa muache yule ni chuma na Nuru ya Mungu ulimwenguni
@SamweliEzekiel-ks7sl
@SamweliEzekiel-ks7sl 10 месяцев назад
Baba yangu upo juu sana kuliko hata milima
@beatricemunisi7891
@beatricemunisi7891 10 месяцев назад
Amen 🙌🙌
@subirisamson1880
@subirisamson1880 9 месяцев назад
Baba
@salmampinga4995
@salmampinga4995 10 месяцев назад
Daddy Umestahili 👍👏🥰
@RuthyTemu-ev5li
@RuthyTemu-ev5li 10 месяцев назад
Mungu akubariki zaid umezidi kuwa baraka kwa WaTanzania Daddy we love you kama ambavyo unatuonyesha upendo daddy piga kazi
@eliphazendahimana7122
@eliphazendahimana7122 8 месяцев назад
Na huyo ambae anajiita mnabi. Anajua vizuli kama mungu anaetumikia sio wa mbiguni bali Ibilisi.Mimi namuombea kuokoka tu.
@samwelmollel602
@samwelmollel602 10 месяцев назад
Honqera nabii mkuu gd
@goldshawiz6403
@goldshawiz6403 10 месяцев назад
ngurumo motoooooo
@karimpasclee4043
@karimpasclee4043 9 месяцев назад
Amen
@samwelmollel602
@samwelmollel602 10 месяцев назад
Noon❤❤❤❤
@sarahmtambo7515
@sarahmtambo7515 6 месяцев назад
jaamani jamaani natamani kuja kumuona na bii mkuuu
@samwelmollel602
@samwelmollel602 10 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@johnshayo9635
@johnshayo9635 10 месяцев назад
Huyu jamaa labda niseme Kwa moyo wa utoaji kama kweli hiyo pesa wanapewaga otherwise mi simwelewagi
@user-um8cw6ze6f
@user-um8cw6ze6f 10 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 10 месяцев назад
Maneno machache Kazi Kubwa Zaidi
@HappneshRamadhan
@HappneshRamadhan 7 месяцев назад
Naomba kujua unapatikana wapi Arusha?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 10 месяцев назад
Nabii pesa zote anazitoa wapi?. Anatowa sana pesa
@mwamudaniel7912
@mwamudaniel7912 10 месяцев назад
Mheshimiwa Gombo wewe ni mchungaji. Fanya jambo
@user-ei4it7lj1b
@user-ei4it7lj1b 7 месяцев назад
Naombeni namba zake jamani
@HappneshRamadhan
@HappneshRamadhan 7 месяцев назад
Nabii mkuu unapatikana eneo gani Arusha?
@goldshawiz6403
@goldshawiz6403 10 месяцев назад
kumekuchaaaaa
@alirashid3239
@alirashid3239 10 месяцев назад
endelea kucheza na akili za watu Allah anakusubiri.
@Jomba00
@Jomba00 10 месяцев назад
Sasa mbona una murinzi nyuma yako natena tunajuwa kama murinzi ni mungu sasa nini kimetokaa kanisani mpaka umutafute murinzi wa mwanadamu
@jongoshaushi6945
@jongoshaushi6945 10 месяцев назад
Nikweli bunge nilawatanzania ila mlishinda uchaguzi kwahaki
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 10 месяцев назад
Mh nini hk nmeona katikati ya clip!!? Ni kikundi cha wanakyaya ya kanisa!? Akina dada waliovalia vivaz vya mitindo!? Nyie ndg msifikiri mungu atabadiru ht herufi 1 ya neno/ hukum yke kwasabb ya uwingi wa maovu ytu,msimfnye Mungu kama kipofu eti au hv mwaweza vaa vimini hvyo mbele ht za wakwe zetu au wazazi wenu!!? Inakuwje madhabahuni? Wapendwa Mungu hadhihakiwi,wala msifikiri mko salama mkihisi labda kwkuw mko na ajiitae nabii mkuu,hkika Biblia hudema NABII HUMTII NABII ukiona nabii anaacha kufundsha kweli yte ya MUNGU anaacha machukizo kufnyika kwke tena ht yeye ndio kuwavesha hvyo mjue wazi kuwa ameacha sheria ya Bwana. Km kiashiria cha kujiita NABII MKUU haiwajulishi kuw c wa Yesu bc nyingine hyo msipoelewa leo mkiw dunian sio shida kuna mahali mkifika mtaelew vzr sn kuw mlikuw vpofuv na vzw mlijulishwa mkashupaza shingo.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 10 месяцев назад
Mnachanganya DINI NA SIASA, TANGANYIKA inaelekea pabaya.
@SamweliEzekiel-ks7sl
@SamweliEzekiel-ks7sl 10 месяцев назад
😂😂😂😂 umejuwaje
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 10 месяцев назад
SIKU ZA MANABII ZIMEPITA,HATUNA NABII IKIWA WEE UNAJIAMINI KUWA NI MTU WA DINI.USIDANGANYE WATU..NABII WA MWISHO NI MUHAMAD, MRISHO UPO NA WEE KWA HAYOOO😮
@annaniasamuelmgawe1698
@annaniasamuelmgawe1698 10 месяцев назад
Huyo Muhammad ni nabii wako wa mwisho kwa imani yako. Usipende kulazimisha watu waabudu Mungu wako.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 10 месяцев назад
Hivi lini au wapi tangu zama hizo kuna Manabii zaifi ya dini ya lslam..sio ajili yangu fanya kama msoma kitabu.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 10 месяцев назад
​@@annaniasamuelmgawe1698hajakwambia uamini dini yake
@stephenmunyao2787
@stephenmunyao2787 10 месяцев назад
Baba Niko Kenya mungu akubariki kwa kazi nzuri unaoifanya
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 10 месяцев назад
Mungu ni Mwema sanaaaa 👏👏👏🙏
@abellymwambwiga
@abellymwambwiga 10 месяцев назад
Mungu ni Mwema
Далее
MAGONJWA YA KUTENGENEZA part 1 - Bishop Gwajima
21:04
Просмотров 185 тыс.