Тёмный

PASTOR TONY KAPOLA NA MKE WAKE WAPEWA ZAWADI NA WANAWAKE WA SHOKA 

EFM TANZANIA
Подписаться 117 тыс.
Просмотров 44 тыс.
50% 1

Msimu Huu wa 2023 Tumepewa Nguvu Zaidi na @dstvtanzania @vodacomtanzania @cocacola_kwanza Pamoja na @y9microfinance
Ukumbi huu umepambwa na @sadas_choice_events
#MwanamkeWaShoka2023 #ChukuaCode : #Wanyooosheee

Развлечения

Опубликовано:

 

18 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@aledesiomushi875
@aledesiomushi875 Год назад
Mungu WA mbinguni azidi kuwabariki mi nawapenda pia nawafatilia sn mmebadilisha maisha yangu
@malcelalihawa6034
@malcelalihawa6034 Год назад
Mwenyezi Mungu awatunze watumishi wa mungu wote wanaojitoa kwaajili ya utukufu wa Mungu!!!
@JamesOdhiambo-wu2pj
@JamesOdhiambo-wu2pj 4 месяца назад
Sikutarajia Mtumishi wa Mungu kama mama wetu angevalia hivi,kwa mtazamo wangu naona nikama dunia inaowa kanisa, yale mavazi yanavaliwa kwenye sehemu za burudani tuyalete tena kanisani, yule kijana ameketi nyuma yake anafikiri nini, Baba nakupenda lakini kwahili mimi bado ni mtoto naitaji mafunzo yako, MUBARIKIWE.
@stevenkushoka8753
@stevenkushoka8753 Год назад
Mmmh
@virginiagathoni8165
@virginiagathoni8165 Год назад
Mnapendeza kweli,Yesu awalinde.
@malcelalihawa6034
@malcelalihawa6034 Год назад
Yuko hapo stejini kukupa neno chakula cha roho na maarifa....linalokufaa lichukue lisilokufaa muachie yeye mwenyewe...kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe!!
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 3 месяца назад
Kama wao wanaona Kuna maarifa wanayo sisi hatuna na tunapokea basi nao wapokee maarifa yetu wasiokiwa nayo wao Kwa kuwa sisi sote TU viungo kukamilisha miwili wa Kristo
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Год назад
Mama mchunguji avae kwa staa
@cittaboy
@cittaboy Год назад
Blessed
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 3 месяца назад
Kuhusu mavazi msikilizeni mch Abiud alipewa ujumbe na Mungu awaam bie wamama wachungaji duniani kuhusu mapambo na uvaani wao unawaongoza waumini kwenda jehanam au mbinguni
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 Год назад
Mama mch amevaa km maids mnamwangalia tu
@gracesimbakalia905
@gracesimbakalia905 Год назад
Kwani mlitaka avaaje sehemu kama hiyo acheni hizo pokea ujumbe mengine ni yamtu binafsi
@vumimalila2441
@vumimalila2441 Год назад
tunaomba mama mtumishi ajitahidi kuvaa nguo za heshima yeye ni mtumishi anatakiwa kuwa mfano mzuri kwa jamii
@josephinealex3166
@josephinealex3166 Год назад
Mmmh jmn
@merrynmwambene5109
@merrynmwambene5109 Год назад
Kwer kabisa
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Год назад
Mungu
@martinezagustavo409
@martinezagustavo409 Год назад
Kavae za kwako...yanakuhusu nini aliyoyavaa mke wa mtumishi.....wewe uliye mfano mwema wa jamii weka sura yako tukuone aiseee
@olivianorman514
@olivianorman514 Год назад
Ulitaka avae ipi inayokupendeza wew
@angiemkusa3845
@angiemkusa3845 9 месяцев назад
Hofu ya Mungu uko uchi? Why people mnamchukulia Mungu kimzaa..No wonder these are nephilims.
@josephatkibo2728
@josephatkibo2728 Год назад
Lutu alishinda make akabaki nguzo chumvi, care brother
@tabyjohn1490
@tabyjohn1490 Год назад
We mke wako atakuwa sugaring mwaya utakufa na wivu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 месяцев назад
Watanzania imani yetu iko kwa mavazi tu au vipi.Inamaa n a ukivaa nguo kama sister wa RC basi wewe ni mtakatifu kweli au vipi😮.mavazi hayana lolote mbele ya Mungu.Adamu na Hawa hawakuwa na nguo .😮
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 3 месяца назад
Mavazi yangekuwa hayana maana basi vaa uchi tembea barabarani ili ujue umuhimu wake
@RichardMakwaya-xs5wp
@RichardMakwaya-xs5wp 10 месяцев назад
Kama suleimaniii aaaa😀😀😀😀
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 Год назад
Watu wasipendeze shoneni na nyie wivu tu fupi fupi fupi fupi muacheni mama mchungaji
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Год назад
Huelewi nn maana ya mama Mchungaji
@Peterdeus6037
@Peterdeus6037 Год назад
Hapana huyu ni mtumish wa madhabahuni hatakiwi kuwa vile wengine wasiige vile
@ivonaalex2549
@ivonaalex2549 Год назад
Kabisa n nguo nzuri na ya kawaida
@ivonaalex2549
@ivonaalex2549 Год назад
Huo n wivu kapendeza mdada wa watu
@ndojes711
@ndojes711 10 месяцев назад
Kapendeza kinoma
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Год назад
Huyu mama Mchungaji kwenye mavazi hajielewi kabisa hata suruali anavaa tu jmn
@joyceisaka7394
@joyceisaka7394 Год назад
😭😭😭 mbingu tutaisikia haki mavazi yanatuangusha mnoo wanawake
@ichicarodan6931
@ichicarodan6931 Год назад
Mavazi yanaezafanya mtu hasiende mbinguni akiwa na moyo safi???
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 Год назад
Shida iko wapii???? Ni maisha yake stop pretending being extra perfect 😂😂😂😂😂😂
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 11 месяцев назад
Sio lazima watumishi wa Mungu waishi kinafki kama tulivyozoea...
@ndojes711
@ndojes711 10 месяцев назад
Mmezoe kina mama wachungaji wajifunge mavitambaaaaaa 😂😂😂 MOYO SAFI
@julianakarani4971
@julianakarani4971 Год назад
Mama mchungaji umemuabisha mumeo na wamama wenzako ,nguo uliyoivaa haina utukufu mbele za Bwana.
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 Год назад
Kwendeni zenu🤣 nyie mna utukufu wa Mungu kiasi gani
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 11 месяцев назад
Kakuaibisha Wewe mimi hajaniaibisha na Ni Mwanamke mwenzie
@ndojes711
@ndojes711 10 месяцев назад
Mbona wamama huku wanamsifia.... kwendraaaa
@LEAHHAMISI-gg7ov
@LEAHHAMISI-gg7ov 11 месяцев назад
Uvaaji gani huo ,wamama wachungaji badilikeni huo sio utaratibu wa MUNGU wetu tunayemwabudu,,hamna haja ya kupindua ukweli wa biblia,,mwonekano wenu wa nje umtukuze MUNGU kwanza.mbadilike acheni jeuri
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 11 месяцев назад
Kama mumewe anapenda inatosha.....na nyie wafurahisheni waume zenu pia
@ndojes711
@ndojes711 10 месяцев назад
Tafta pesa acha makasirikoooo..... Sikiliza neno tembea mbele,. Maswala ya mavaz atajua yey na Mungu wake,. Tena Mrs. Kapola anapendeza HATARIIIIII ❤❤❤mmezoea wamama mchunguji wanavaaa mavitambaaaaa Aiiiiiiiii
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 Год назад
Hongera mtumishi wa Mungu. Angalau Leo mkeo kavaa vizuri kama mama Mchungaji. 😅 Jinsi kapumzisha.
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Год назад
Duuuu Hilo ndilo ulilojifunza kukagua mavazi🤣🤣🤣Mungu akusaidie upone
@aledesiomushi875
@aledesiomushi875 Год назад
​@@catherinekiwipa9271 tena pastor alishasema angalia moyo usiangalie vazi tafuta ela upunguze makasiriko dear😂
@malcelalihawa6034
@malcelalihawa6034 Год назад
Tena upone kweli maana utafika umechoka haswaaa...yaani umeweka bando kuangalia Mrs mchungaji kavaaje looooh!!!....watu wanakimbizana na fursa funguka dada
@ndojes711
@ndojes711 10 месяцев назад
Funguka wew..... ubongo umeganda huo
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 3 месяца назад
​@@ndojes711dada Yuko sawa wavaa suruali watatetea tuu ila jipangeni mkijua mshaachwa msipotubu na kuacha zipo dhambi nyingi Hilo nalo lipo
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 3 месяца назад
Kuhusu mavazi msikilizeni mch Abiud alipewa ujumbe na Mungu awaam bie wamama wachungaji duniani kuhusu mapambo na uvaani wao unawaongoza waumini kwenda jehanam au mbinguni
Далее
100❤️
00:19
Просмотров 2,9 млн
JIFUNZE KUWAHESHIMU WAZAZI WAKO
12:50
Просмотров 284 тыс.
USHUHUDA WA  MAISHA PASTOR TONY KAPOLA SEHEMU 1
22:08
Просмотров 154 тыс.
ndoa hazitusaidii kushinda uzinzi Pastor Tony Kapola
4:23
Incredible magic 🤯✨
0:53
Просмотров 46 млн
🍁 Поверил в себя
0:19
Просмотров 1,5 млн