Nimefulai Sana kuona mmoja wa vijana ambao tumekuwa pamoja mtaani amepiga atua akika shule ya kigogo inaistoria kutoa wanafunzi Kama hawa God bless u balnaba.
CV ya ALIKIBA tu imenifanya nivutiwe na ndio maana nawapenda sana Barnaba na Alikiba lkn pia naomba siku moja mje mfanye jambo, Barnaba anajielewa sana.
Jamaa,yupo social Sana,sio wengine ukienda kuwatembelea,mkiwagongea milango wanatoka wamenuna sana.hata kumuona mondi tu mpaka sijui mpitie kwa flani!yaani haileti picha mzuri ,tuwape ushirikiano wanahabari wetu.