Hii serkalin ya ovyo sna kuna vijana wengi sna wenye sifa mtaaani alfu hao mbulula wanachezea kaz ingekuwa hivi mtu aki zingua piga chini hakuna kumuamisha wala kumsimamisha kaz unapiga chini hili hawa wengi na wenyewe wapate kaz hapo kila mtu angejituma sasa hii mala kumpa onyo
Mheshimiwa Aweso tusaidie kitu kimoja hasa katika ulipaji wa bill za maji kunautofaiti gani unit moja ya maji Kagera katika malipo na mikoa mingine, Kagara unit moja ni shs 2200/= na sehemu nyingine ni shs ngapi?
Waziri mbona kama wote hawafanyi kaxi Hapo kuna UHUJIMU UCHUMI KABISA KUNA WAFANYAKAZI WANAUZA MAJI WANATOA MAJI KWA MGAO NAKUOMBA WAZIRI FUATILIA KWA KINA