Тёмный

Video hii ya BIDEN akimpuuza na kumbagua mpiga kura Mmarekani Mweusi yazua hasira mtandaoni 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 694   
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 7 дней назад
Hakuna aliebora kwa Allah s w ispokua anaemuabudu yeye tu kama unaamini like
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u 7 дней назад
Sis wenye tushindwa kujitambua nakujiani kama tuna uwezo wakijiongoza wenywe tunaona kama bila ya wao sisi hatuwezi nizaifu mkubwa wakifikra na kiimani husband viongozi walioko madarakani
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 6 дней назад
Huyo Allah ana ubora gani?
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 6 дней назад
Utakuja kujua inshaallaah 😢
@officialsalim3955
@officialsalim3955 5 дней назад
​@@vincentcharles4385Chunga maneno yako...
@AliamryBakar
@AliamryBakar 7 дней назад
Kama unaamini sote ni wa Mungu mmoja gonga like
@francejuya1248
@francejuya1248 7 дней назад
Sisi na wazungu ni tofauti kabisa sisi ndio Wana wa Muumba wa kweli SEMA tumepoteza asili kupitia dini
@cryptoboy-5
@cryptoboy-5 7 дней назад
hayo mambo ya mungu ndyo yanayo tuludisha nyuma tumeinginiziwa imani za hovyo na wageni kuacha ualisia wetu wa kiafrica na kujikuta kupokea imani za watu ambazo zinatufanya mpaka leo tumekuwa wajinga na kuwa kichaka cha maladhi
@Awatee
@Awatee 7 дней назад
​@@cryptoboy-5jidanganye siku ukifa utajua vzr
@Awatee
@Awatee 7 дней назад
​@@francejuya1248hakuna mzungu wala china sie sote ni wa Mwenyezi Mungu lkn wazungu wanajiona wao wajuzi
@zuricakes6817
@zuricakes6817 7 дней назад
@@cryptoboy-5 sasa hapa dini imeingiaje? Watu waliozoea kwenda kwa waganga utawajua tu!😅
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 7 дней назад
Hakuna Siku Mzungu Atapenda Mtu Mweusi,Hata Akikupenda Huwa Na Kachuki Fulani,Ogopa Mzungu 😭😭😭😡
@kassimabussa6583
@kassimabussa6583 7 дней назад
Nikweli kabisa wazungu hawawezi kutupenda kamwe inatia uchungu huyo binti
@jeanpierrekwizera6400
@jeanpierrekwizera6400 7 дней назад
Nikweli haujakosea
@minazsaid2470
@minazsaid2470 7 дней назад
Never happen
@abuusufian6506
@abuusufian6506 7 дней назад
Siyo wote
@salumchande2702
@salumchande2702 7 дней назад
Kwaiyo jaymondi anabaguliwa kumbe😂
@user-ly9lp2ed4m
@user-ly9lp2ed4m 7 дней назад
Hainishtui kiasi cha kunifanya niwaze sana kuhusiana na hii ishu coz I know I’m the best in front of my creator and I believe that there’s a reason behind why I were created black, so I’m very proud to be the way I am and I’ll never ever regret to, Code ni moja tu akikubagua mbague.
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 7 дней назад
Yaani nilikua nasikiaga ubaguzi leo nimeuona live
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 7 дней назад
Aki nimeumia roho 😢😢😢
@user-es7jn7cp5d
@user-es7jn7cp5d 7 дней назад
Mimi siwenzi kushangaa kwa ngonzi nyeupe kuhusu ubanguzi Kama sisi kwa sisi tunabaguana wafrica kwa nn isewe kwa nzungu Africa tuungane
@moseskulola6913
@moseskulola6913 7 дней назад
Hakuna chakushagaa hapo wazungu wote hawatupendi sisi weusi
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 7 дней назад
Wazungu hawawapendi hata waarabu sio muafrika tu
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 5 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 5 дней назад
​@@user-dx6dm6lh1i🎉🎉🎉🎉kabisaaa
@andrewokbazil1018
@andrewokbazil1018 7 дней назад
Ubaguzi Marekani haujaanza leo,una historia yake.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 7 дней назад
Sasa eti ata Biden mwenye upungufu wa kumbukumbu analeta ubaguzi duuh. Mbona rais mwenyewe mgonjwa jmn
@fahadhassan1714
@fahadhassan1714 7 дней назад
Ndo ache shobo za wazungu yy ashajiona kima anakwenda vipi kwa nguruwe mweupe ndo akome
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 7 дней назад
Kweli huwa wanajishauwa sana
@HamadKhamis-l9e
@HamadKhamis-l9e 7 дней назад
Ifike wakat cc watu weusi tujitambue km tunabaguliwa tusilazimishe kujichanganya nao Ni bora zaid tuish maisha yetu mana haitokuja tokezea ubaguzi WA watu weusi kuondoka duniani kwasababu hata watoto wao huwasomesha namna ya kutubagua
@frocoissango8973
@frocoissango8973 7 дней назад
Acha kwenda kwenye makanisa na misikiti yaho kwaza
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 7 дней назад
​@@frocoissango8973Makanisa yao yako wapi?
@KASSIMMHILU-oh5ch
@KASSIMMHILU-oh5ch 7 дней назад
Kinachotakiwa ni kujikomboa kifikra Kwanza...Ukipenda kusaidiwa ujiandae na kibaguliwa
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 7 дней назад
Uyoo..so Raisi ni mubaguzi wa Rangi.....🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ hafai kuwa mtawala
@jumashedafa
@jumashedafa 7 дней назад
Haya Ruto umeona kaz hiy adi unapendwa ujue wana shida zao..Na huy mbibi wa kizungu kama ndio alimuanzishia kiran yan alianz kumbagua kitambo...mie ushaur kama upo huko we tafuta pesa urud mambo yao waachie ila nk vyema kaongeza kura kwa trump hasa kwa watu weusi walioumizwa na hilo...trump naye keshapata hoja ya kumkaanga na kufanyia kampeni
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 7 дней назад
Kutoka Gikombaa Nairobi leo sijakusikia kaka ulivyotokea nimefurahi sana big up family ya sns
@allahisone6386
@allahisone6386 7 дней назад
VIPI GEN-Z KESHO WATAKIWASH🔥?
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 7 дней назад
@@allahisone6386 hapana Kesho ni sikuku ya sabasaba
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 7 дней назад
Gikomba nyie weziiiii sana 😂😂😂😂
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 7 дней назад
@@Officialjidaa-sn9cs ndo akili yako imekutuma ivyo
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 7 дней назад
@@Brunotarimo10 si kweli Kwan uongo
@rajah9328
@rajah9328 7 дней назад
Tunashabikia sana wazungu tena ao ao ndio wanasema Human Rights ila ubaguzi kwaio umezidi
@HappyatHome-bn8wm
@HappyatHome-bn8wm 7 дней назад
mbaguz huyu jamaaa. ameisha
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 4 дня назад
kabisa
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 7 дней назад
Kweli kabisa ,amebagua huyu mdada mweusi ,amekosea sana
@wallaceexpert4081
@wallaceexpert4081 7 дней назад
Dah kuna aibu nyingine zinaumiza tena asa kwa mtu unaemuamini.
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 6 дней назад
Yani i feel her pain mim peke nimeumia utadhan ni mim kampa mfadhaiko mbele za watu…. Ila na wao wakome
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 6 дней назад
Jmn mrembo mzuri mwamfrica yaani anapendeza kazidi hawa weupe kama vile wana ugonjwa wa ukoma. Dada mweusi mzuriii sana, angalia tu macho yake tu jmn mtoto huyu dahhh!! Wazungu jmn Mbinguni hawataingia!! Sisi sote ni wa Mungu mmoja. Amen.
@andrewokbazil1018
@andrewokbazil1018 7 дней назад
Ubaguzi Marekani haujaanza leo,, una historia yake
@AbumishAbu-cz9su
@AbumishAbu-cz9su 6 дней назад
Sisi watu weusi Mungu alivyo tuumba ndio tunao jali utu wa watu wote dada your still strong don't be so sad
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 5 дней назад
Kabisa tuna roho ya upendo❤
@Antelius-ew6it
@Antelius-ew6it 8 часов назад
Shida sio dada tatizo ni mfumo wetu wa akili katika uso wa Dunia hata ningekuwa mm ingetokea hivo tu asiwaze kwetu ss ni shujaa wetu dada mwenyewe mrembo mzuri tu jaman❤
@pauldotto7868
@pauldotto7868 7 дней назад
Kwa kweli imeniuma hadi machozi
@user-kx5oc7nt5p
@user-kx5oc7nt5p 3 дня назад
Daah, kweli bhana hawa watu hawatupend. Imenihuzunisha
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz 7 дней назад
Hata Trum mbaguz na hata huku kwetu pia kuna ubaguz wabongo hujifanya wako juu na wapemba na wao usiseme waunguja tuko kimya tunawatizama tu
@fetychina3969
@fetychina3969 7 дней назад
Dah!nimejisikia vibaya sana
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 7 дней назад
Yaah ,its not their home, Africa is, Africa is the paradise, Black is beauty always.
@SaidiAmiri-qv5ed
@SaidiAmiri-qv5ed 7 дней назад
Ni ssi tu huwa tunajipendekeza kwa hawa watu weupe,sio wazungu tu hata wahindi,waarabu wachina,wote wanajiona wao bora zaidi na wenye bahati zaidi yetu.SISI TUKUBALI TU KIBAYA ZAIDI HAWA WATU MUNGU AMEWABARIKI MALI HAPO KIBIRI NDO KINAZIDI ZAIDI TUFANYE IBADA SANA ILI FUNGU LETU TULIKUTE KWA MUNGU WETU ILA HAPA DUNIANI HAWA WATU WANATAMANI WANGETUONDOA WATU WOTE WEUSI WABAKI WAO TU.
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 5 дней назад
Very Sad 😢, Namkumbuka Jk Nyerere alisema… wazungu ni….ma….bwa! Kwa kweli
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 7 дней назад
Ndo mjioneee uko waaafrika mnaojipendekeza na wazungu eakati wala hawawapendi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 7 дней назад
Ubaguzi uko kila sehemu na kila kabila duniani.Hapa hapa Tanzania tunabaguana sembuse huko Marekani.Hebu angalia hapo kenya wanavyobaguana,ww mbara nenda zanzibar au nende arabuni huko kote kuna ubaguzi.
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 7 дней назад
@@MathewNathan-yb2bz ni lini ww ulishawahi kwenda zanzibar ukabaguliwa au unaushahidi wwte wa video au audio ikimuonyesha mtu wabara au ww mwenyew ukibaguliwa? Usiongee kwahisia ongea kiuhalisia usiongee kwa chuki mm nimeshaenda znzibar na nimeshakaa zaidi ya miaka miwili na hawaja wahi kunibagua na sijawahi kusikia kma kuna mtu wa bara amebaguliwa labda tuseme2 kua ss wabara tumetokea kuwachukua wazanzibali huo ndio ukwel tunawatengenezea chuki ila wale watu ni watofauti kabisa kwanza hawana habal kabisa na mtu kule kila mtu anaangalia maisha yke aisee kwakwl wale jamaa ni haki yao wakatae muungano mana kwanza hatufanani nao kwachochote nikimaanisha maadili yao hayaendani kabisa na yakwetu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 7 дней назад
​@@MathewNathan-yb2bzlazma uwatetee mashoga wenzako
@raissafabien4285
@raissafabien4285 5 дней назад
😢😢😢😢Be strong my girl✊✊and be courage. We will win as the black😍
@GiftAbduly
@GiftAbduly 7 дней назад
Hakuna watu wabaguzi kma hawa ngozi nyeupe sijui wanajiona kina nani hapa dunian aiseee hata mimi nishakosa kaz dubai sababu tu ni rangi n mweusi🙌🏾🙌🏾
@hanifa9153
@hanifa9153 7 дней назад
😢😢😢😢😢
@AmusedCatfish-hd8wo
@AmusedCatfish-hd8wo 6 дней назад
Nipo Dubai mwaka 7 sijaona Hilo
@abdulrazackabbas2634
@abdulrazackabbas2634 6 дней назад
Tembea kweny matamasha sio upo dubai unalal kwenye kochi siku nzima
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 дней назад
@@AmusedCatfish-hd8wo hayajakukuta tulia
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 дней назад
@@abdulrazackabbas2634 mwambie huyo haya mamb yapo ukisikia mwenzio unaona n uzishi likikukuta sasa
@frankvianey2438
@frankvianey2438 7 дней назад
Aisee sns mpo vizur sana
@christophermsekena616
@christophermsekena616 7 дней назад
Baguzi halitoboi this time
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 7 дней назад
Hata huyo trump mbaguzi waamerika their in trouble 😂
@digital21.13
@digital21.13 4 дня назад
Nyoooo. Kutwa kuzungumzia uchaguz wa Marekan.. Wa Tanzania aaah
@AbdulraufSalum
@AbdulraufSalum 7 дней назад
Na yy kafat nn apo
@hopechidera
@hopechidera 7 дней назад
🤣🤣🤣hapo sasa,hata nami najiuliza hivo...
@star_wizard2792
@star_wizard2792 7 дней назад
😂😂😂 kapata alichokifuata
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 7 дней назад
Hapo nuksi kaanza hicho kibibi kichawi , kushoto mwa huyu msichana, innalillah wainna illaihu raajiun" msiba mkubwa kwa joe
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 7 дней назад
Is not a first time from him
@crisndembwele4016
@crisndembwele4016 5 дней назад
Ilibidi sisi tuwachukie wazungu na tuwabague ila kuna mahali wametuwahi ila katika kuumbwa sisi tumebarikiwa sana trust
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 7 дней назад
Kababu kasenge haka!
@hanifa9153
@hanifa9153 7 дней назад
Ucjali kana kufa tu kesho kakaktane na adhabu za mungu kibri chote kitaisha😢😢😢
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 6 дней назад
Mimi hata nkiambwa jckie kama upo nyumban lakn cjsahau mimi n Nan 😂😂😂😂
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 7 дней назад
Mungu anawaumbua 2
@MahdouMomba
@MahdouMomba 7 дней назад
Hawa wazungu hawawezi kutupenda sisi watu weusi, ni sisi tuu ndio tunajipendekeza kwao. "If one day the Europeans praise me, know that I have betrayed you" very great quotations By Samora Machel.
@santinoplacid7571
@santinoplacid7571 7 дней назад
tutafanyaje sasa wakati ndio wametufanya tuwategemee kwa kila kitu😢😢
@MahdouMomba
@MahdouMomba 7 дней назад
@@santinoplacid7571 wao ndio wanaotutegemea waafrica kwa kila kitu, madini na rasilimali nyengine nyingi, ni muda kwa viongozi wetu kubadili muelekeo kwa manufaa yetu nasio manufaa ya mabeberu
@RamaMikidad-vm3we
@RamaMikidad-vm3we 7 дней назад
Inakeraa aricho kifanya biden. Ila kama irivyo kawaida wachafu wengi ndiyo wanavaaga nguo safi nakuaminika kiulaisi ishakua kawaida2 vitukama ivyo ugenini kule. Unakuta hao hao wa wanaobaguriwa ndiyo wanao mumarizia kula ya ushindi haanhahahaha
@ziggysamson5956
@ziggysamson5956 6 дней назад
Takwambia Nini Kaka Sky mbona uku Capetown na sisi uzuni namadjozi vimetujaa,Allah Amchukue na Hamlaze mahali pema motoni
@MzeeNdaloo
@MzeeNdaloo 7 дней назад
Hii inafunzokubwa kwa viongozi machawa wawa zungu wanaokula pesa zawazungu wajuwe wana wauza nduguzao kwa watu ambao hawawapendi Nandiomaana viongozi wa kiafrika wenye msimamo huwa wanawauwa R.i.p magufuli
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 7 дней назад
Shenzi huyu mzee 🚮
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 7 дней назад
Ndomana uwislam umenyosha tutasimama kwenye swala hija aijalishi we mzungu au mweusi .na mbora katika cc anaefanya mazuri kwa Allah
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 7 дней назад
Uislam ndo haki
@josephkiwale374
@josephkiwale374 7 дней назад
Hata ukristo haukuruhusu ubaguzi,ubaguzi nitabia ya watu weupe wote dhidi ya mtu mweusi,warabu na wahindi ni wabaguz xana pia,hakuna Cha uislam Wala ukristo
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 6 дней назад
@@josephkiwale374 hao mashoga wazungu wamezid ubaguz mashetani hayo
@hellennehemia9269
@hellennehemia9269 7 дней назад
Yaan ingekua ni Mimi,huyo mbibi kwanza ningemtia ngumi ya uso ..
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 7 дней назад
Kweli mschana kajisikia vibaya sana, inasikitisha sana amemdhalilisha kiukweli, mwanzoni nilimpenda Biden, ila kwa hili simpendi tena.
@hkaniugu
@hkaniugu 6 дней назад
Waafrika wenyewe hawapendani
@alexmahenge3817
@alexmahenge3817 6 дней назад
4:16 Hafai kua Rais tena Hana Maana kwa kizazi Cha sasa. Nimemfuta Kuanzia sasa. Aibu imrudie Biden mara 100
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 7 дней назад
Anayempenda Allah tu ndio kafaulu, Allah hambagui mtu ila kwa madhabi yake usipotubu
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz 7 дней назад
Skay kaka nafurahi sana unavo tupa vitu va kudunia nikuambietu hawa wazungu sio watu kabisa
@eestermos9933
@eestermos9933 7 дней назад
Dah inauma sana
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 6 дней назад
Hawa weusi wanatakiwa wafanye yafuatayo: 1. Wasimpigie kura huyu magazine na badala yake wampigie wa Republican ingawaje wao ni wabaya zaidi. 2. Wasome kwenye disciplines tofauti 3. Watafute pesa kwenye maeneo tofauti 4. Watengeneze wanasiasa wengi 5. Waongeze idadi yao nk
@mamy8220
@mamy8220 6 дней назад
Kuna kaka aisema ivi vitu walimutukana kaka wawatu nimelia sana 😢😢 ubaguzi upo 😢
@Divinelinna
@Divinelinna 7 дней назад
😂😂ndo sawa si afazali trump anaye sema kweli nakuonyesha hazarani lakini uyo Biden munafkiiii ohooo
@Ryannkae
@Ryannkae 7 дней назад
Mimi uwa nawaambia aleyefanya wanzi na kuhonyesha uma au ajipendekezi huyo ndo mtu mzuri ata ukiwa job sisi weusi tukihona wanatushekea first day juwa aukai apo bro wanahesabu weeks tu na wakufukunze ila ukimkuta anafunga sura juwa unakaa pakanzi kama hakufukuza siku hile ya kwanza kunja kutafuta kanzi juwa umedumu apo atokutowa kame kabda mwenyewe ukatoke
@Divinelinna
@Divinelinna 5 дней назад
@@RyannkaeKabisaa
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 7 дней назад
Si warudi kwao Africa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 7 дней назад
Wapi?
@abelimwakijungu1226
@abelimwakijungu1226 7 дней назад
Jielimishe!
@hopechidera
@hopechidera 7 дней назад
Kufanya nini...
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 7 дней назад
Hao wazungu wenyewe sio asili yao huko
@user-zp6kv3ir3v
@user-zp6kv3ir3v 5 дней назад
Too bad for us as Africans and our race of people in USA
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 7 дней назад
Du!nimemuonea huruma huyu dada Jamani 😮😮 bora nilizaliwa Africa kwenye asili yetu.
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 7 дней назад
aisee kaka wewe ni mbunifu Sana kwenye Sanaa umeiwasilisha vizur Sana
@user-sc5gt6gs3s
@user-sc5gt6gs3s 6 дней назад
Inauma ila mm nikizani mtu akiwa na umri uyo sasa anajuwa kama akuna tofauti wa mtu na ungine kumbe ukubwa njinga 😢😢
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 5 дней назад
Baiden raisi mpumbavu kweli 😭😭😭😭😭😭 kwakini uyo asi mfokehe pale kwanini nina bango lako linandikwa jina lako alafu unafanya ubaguzi inge trend zaidi sn 😢😢😢😢😢
@hermanKajiru
@hermanKajiru 7 дней назад
I think the black American people should think twice of how to support the politician. It is so sad.
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 7 дней назад
Ila Luto ni mweusi zaidi kuliko huyu dada, be care African 😢
@nobleafrika
@nobleafrika 7 дней назад
Ni muda sasa watu weusi warudi AFRIKA ✍️✍️✍️✍️
@zuricakes6817
@zuricakes6817 7 дней назад
Kufanya nini? huku huku tutabanana nao tu. Mpaka kieleweke
@hopechidera
@hopechidera 7 дней назад
​@@zuricakes6817 🤣🤣🤣
@nobleafrika
@nobleafrika 7 дней назад
@@zuricakes6817 😁 ila wewe
@furahamwangosi3896
@furahamwangosi3896 7 дней назад
@@zuricakes6817😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yirgayemyirgah7820
@yirgayemyirgah7820 7 дней назад
Wabaki ukouko wakija uku watatuharibia nchi zetu na mambo yao ya ajabu #Gun violence
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 4 дня назад
Tutadhalilishwa sana tu na kubaguliwa kwasababu viongoz wetu wa Africa hawajielewi wanahis bila wazungu Hakuna maisha Ukiangalia vizur hapo huyo dada amenza kunyapaliwa na hicho kibibi Cha kizungu kisha mkubwa wao akamalizia na huyu dada ya nn kujibebesha mbango wa mtu mpuuz kama huyu
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 7 дней назад
The black queen never give up, I know you feel so sad because of this but stand firm be strong coz there's a day the truth will reveal it. I know you have a lot of love with your president but the president Biden make rejected to you. But I promise you all African and worldwide appreciate you and we love you forever.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 6 дней назад
Nlijionea kanisani kuna mtoto aliyekuwa anabatizwa msimamizi alikuwa mweusi akaambiwa sogea kasubirie nje alipotolewa nje na mwenye mtoto akatoka nae na baadhi ya wengine wakatoka nusu ya kanisa walisusia ile ibada wakapanda magari yao wakaondoka hii kitu ipo kila sehem kwa wazungu wabaguzi sana😢
@noelkaale5952
@noelkaale5952 6 дней назад
Yaani hawa watu weupe bado sana wanatuona Sisi sio watu lkin chaajabu kabisa hawa viongozi wetu wa afrika ni kama mbwa wakitupiwa tu mifupa ni kutingisha mikia big up sana magufuli,Gaddafi,Mandela na wengine pumzikeni kwa Aman nyie ndio viongozi mlikuwa mnajielewa
@wtnyambizi9876
@wtnyambizi9876 7 дней назад
OMG I feel Her huu ni ubaguzi sema kama kajaribu kuuficha flani hivi
@hustlerchembes786
@hustlerchembes786 6 дней назад
Vizee vimezeeka vinaenda kufa ndomana havijali watu sey no to rashizim lachesism
@tumaininalaila2865
@tumaininalaila2865 7 дней назад
Asife moyo hii ndo dunia na dunia always haina usawa usawa upo kwa Mungu pekeyake
@abaabelard9668
@abaabelard9668 7 дней назад
Inaumiza sana😢
@Awaasha-cn6bx
@Awaasha-cn6bx 20 часов назад
Ndio mana sijawahi jipendekeza kwa hawa watu huwa nawabagua kabla ya hata hawajanibagua😊
@pauldotto7868
@pauldotto7868 7 дней назад
BINTI HUYO NI MZALIWA WA USA HANA HATIA...
@shijamohamed369
@shijamohamed369 7 дней назад
@@pauldotto7868 maji na mafuta hayachanganyiki atafute asili yake na akaishi
@star_wizard2792
@star_wizard2792 7 дней назад
😂😂😂 apunguze shobo kwani lazma aende kubeba Bango la biden angeendelea na shughuli zake
@user-zc1hq7dz6t
@user-zc1hq7dz6t 7 дней назад
😂😂😂😂😂​@@star_wizard2792
@user-nz8ly5sr3o
@user-nz8ly5sr3o 7 дней назад
Mababu zetu walizingua sana kuwauza ndugu zetu uko ulaya ona weusi wanavyobaguliwa pole sana weusi wenzetu mlioko uko ma ulaya marekani Asia kikubwa dua MUNGU yu pamoja nanyie
@kimodomusic9760
@kimodomusic9760 7 дней назад
Ngoja niendelee kuishi kwenye nchi yang nifanye sanaa Zang has hizi habari za kwenda nje ya nchi ni hatali 😢😢😢😢
@zuricakes6817
@zuricakes6817 7 дней назад
Uko nchini kwako hubaguliwi? Tena afadhai ubaguliwe na mgeni kuliko kubaguliwa nchini kwako. Nchini kwako ukiwa huna pesa ndefu unaonekana muhuni tu.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 7 дней назад
Ata nchini kwako ni wabaguzi sema ninyi mmezoea ubaguzi wa rangi tu. Wewe mtanzania ukienda dukani kwa mtanzania mwenzako, halafu muda huo huo akaja mzungu kwenye duka hilo, mzungu atasikilizwa na kuhudumiwa wa kwanza hata kama wewe umemtangulia kufika. Mkienda nyumbani kwenu ndugu zako wenye hela ndio wanaonekana wa maana zaidi, wewe usie na hela wanakubagua na kukuona huna umuhimu au una umuhimu mdogo sana. Hata baba yako unakuta anabagua watoto, anapendelea watoto wenye mafanikio halafu wale wasio na kitu anawaona takataka
@tensotv
@tensotv 6 дней назад
Daah so sad.. nimelia sana
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 7 дней назад
Wazungu toka lini wakawàpenda watu weusi 😢😢
@superhemed7590
@superhemed7590 7 дней назад
Inauma zaid sn😢! Ila nimeangalia kwaupande wa pili jinsi raisi wa nchi kubwa kama marekani anavyoweza kukumbatiana na kupiga picha na wakereketwa wa chama chake kirahisi namna hii, sijui ingekuwa raisi wetu kama ingewezekana mbele ya walinzi wake
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 7 дней назад
Hivi inanikumbusha civil Rights movement 1960 huko marekani. Wamarekani weusi waliteseka kwa miaka mingi Sana. Walibaguliwa kwa Mambo mengi. Wakachoka wakaamua kulianzisha. Wakaazisha civil Rights movement wakinakili baadhi ya vifungu kutoka kwa katiba yao ya marekani. Nawakumbuka mashujaa wao Kama Martin Luther King, Fred shuttlesworth, Rosa Packs,, wanasheria Kama Autherin Lucy,Thurgood Marshall na Arthur Shores.
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 7 дней назад
Waafrica acheni kujipendkeza kwa wazungu mwisho wake ndio kama hayo yanayowakuta
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 6 дней назад
Ubaguz Kwa watu weus hawishi 😢kote mataifa ya watu weupe SS tupo huku tunaona thamani zetu lkn hatuondoki ngo'oo watubague mpk
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 7 дней назад
Daah😢😢😢😢😢
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 7 дней назад
Machoko yatakuja hapa kumtetea choko mwenzao
@josej9888
@josej9888 7 дней назад
Turudi African tujenge African yetu, lah sivyo tutaendelea kubaguliwa kwasababu hatuna umoja.
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 7 дней назад
Pole sana dada yangu mweusi wewe ni wathamami kubwa badili tu eneo apo sio Alafu Ruto na weusi wake woote eti Biden kampa kiti chake akiikaliye Kwa mtazamo huu Mimi naamini Bila shaka kile kiti hakikuwa chenyewe na kama kitakuwa ni chenyewe baada ya Ruto kukiikaliya kilitupwa
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 2 дня назад
poleni wamarekani maana mnaongozwa na mwehu,,mara akili zinakuja mara zinapotea,, ndio maana anakuwa anaganda Ganda hovyo km lisanamu la nguzo za mitumba
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 7 дней назад
Natamani marais wa africa waione hii hemu niambieni kuwa tag marais wabonyeza wapi niwa tag wote,marais viziwi vipofu mabubu wasio ina wala kujitambua put in asinge fanya upuuzi huu.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 7 дней назад
Ubaguzi upo kila mahali. Hata warusi wanawabagua watu weusi
@Omarimsimbazi
@Omarimsimbazi 7 дней назад
Alafu bado viongoz wa kiafrica wanaenda kuchukua misaada na kujikomba komba kwa wazungu , watu wao tu japo ni weus wanabaguliwa je sisi ambao hawatuhusu wanatusaidiaje? Daah amakweli kazi bado ni Kubwa sana😭😭😢😥
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 7 дней назад
Ubaguzi uko kila sehemu ndugu.sasa usipoenda kuomba misaada au kukopa utakwenda kwa nani.Wenzetu weupe Mungu kawaumba na maarifa mengi sana kulilo sisi weusi.sasa najiuliza sijui ni kwa nini Mungu kawapendelea sana hao watu weupe.
@user-rw4xt8lf3v
@user-rw4xt8lf3v 7 дней назад
Hawatupi mikopo tujikomboe na wanapenda tukiwa masikini Ili wafanye wanavyotaka na kutudhoofisha
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 7 дней назад
​@@MathewNathan-yb2bzww choko mzungu hana akili angekuwa na akili wasinge tetea ushoga
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 7 дней назад
@@omarymwaluko9765 ww mwenyewe shoga
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 6 дней назад
​@@omarymwaluko9765wacha domo ushoga ni tabia ya mtu tunazungumzia akili jua kutofautisha wacha kelele kijana
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 7 дней назад
Hata mimi binafsi imeniumiza sana. Hata mdada mwenyewe anaonesha hadharani kabaguliwa. Waafrica kwann hatubadiliki???? Hawa nyang'au hawajawahi kutupenda. Tunajipendekezea nn!?????? Tubadirike. Nimeumizwa sana na Crip hii . Tukome
@hassankilengah4786
@hassankilengah4786 6 дней назад
Hakuna kiumbe mbora mbele ya mwenyezi mungu ispokuwa awe mchamungu.
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 5 дней назад
Hao Ndio Wazungu Tunaowafaham Kamwe hawatofungamana nawatu wausi labda kunajambo lao wakiwa wanalitaka
@ghhj-ij7xs
@ghhj-ij7xs 7 дней назад
Weusi tunabaguliwa sana aise yote tisa kumi tupambanee yoooh😢😢😮😅
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 7 дней назад
Ndo akome kujipendekeza😢
@computerjoshua96
@computerjoshua96 7 дней назад
Kila siku harufu ya maiti kwa wafiwa ni uzuni lakini kwa asiye usika na msiba ni harufu mbaya 😢
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 7 дней назад
🎉🎉🎉​@@computerjoshua96
@Shebbyhadithi
@Shebbyhadithi 7 дней назад
Ubaguzi sidhani kama hutakuja kuisha, kama kiongozi anafanya hv wananchi itakuaje
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 дней назад
Pole dada najuwa unajiskiyq vibaya hata sisi website wenzio tumeumiya mno hicho kitendo 😢😢😢😢😢
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 7 дней назад
Yani Mimi miaka yote nilikuwa shabiki wa malekani niliipendasana sikujua kwamba malekani inafadhili ushoga ,inachonganisha watu wacongo, wapalestina wanauwawa,naislaeli kwasababu yamalekani, somalia nivita ,Burundi,Rwanda , kote nishida nayote haya nimalekani Yani tangu nijue hayo natamani malekani isambalatike Leo mana kumbe ndio inayo leta ubaguzi na uchafu wote mungu tusaidie sisi watu weusi tuwe juuzaidi ya Hawa wazungu
@sijaonalujinama
@sijaonalujinama 6 дней назад
Huyu mzee hatoboi, tuko na Trump.
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h 7 дней назад
Muache kujipendekeza kwa watu weupe bado wanatuona nyani waafrica tatizo hamjikubali na uwezo wenu
Далее
впихнул турбину в глушитель
1:00
😳 ВЫЖИВАЮ В ДРИФТ МАШИНЕ
0:39
Просмотров 207 тыс.