Тёмный

PART 1: JESCA MFINANGA ATUA DAR, ASIMULIA UNYAMA WALIOFANYIWA AFRIKA KUSINI, MACHOZI YATAKUTOKA... 

Bongo Boxing Safari
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 1,6 тыс.
50% 1

PART 1: JESCA MFINANGA ATUA DAR, ASIMULIA UNYAMA WALIOFANYIWA AFRIKA KUSINI, MACHOZI YATAKUTOKA...
Hatimaye Bondia Jesca Mfinanga amefanikiwa kurudi nchini akitoka Afrika kusini alipokwenda kucheza na kupata matatizo ya Promota kuingia mitini bila ya kuwalipa yeye na mwenzake Egine Kayange .
Bongo Boxing Safari tumepiga stori nae akiwa Uwanja wa Ndege ambapo ameelezea mkasa mzima.

Спорт

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@AminJuma-fb2pn
@AminJuma-fb2pn 10 дней назад
Pole san champion never let down boxinglife ✊✊
@AWADHIHEMED-y1c
@AWADHIHEMED-y1c 10 дней назад
polesana dada huyomama ana lombaya
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 10 дней назад
Washenzi sana,,wakija kwetu itabidi tuwafanyie figisu
@PeterDeus-i9u
@PeterDeus-i9u 11 дней назад
Pole sana ndio tujue kwamba alichosemaga Dullah Mbabe kuwa watanzania hatupendani ndo apo muone mkienda nchi za watu tunachofanyiwa lakini sisi tunawakandamoza mabondia wetu wakiwa kwenye ardhi yao tuache chuki za sisi kwa sisi
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 11 дней назад
Kama utani jesca amekua bondia mkali sana.Aliyaendea mazoezi ya sanaa ya mapigano kareti na boxing ili kucheza filamu za Action.Hatimae akajikuta amekua Bondia
@user-ze8hp1ls6t
@user-ze8hp1ls6t 11 дней назад
Dah ila dada nimependa ujasili wako
@AminahassanSaidi
@AminahassanSaidi 11 дней назад
Tatizo ni Lugha tu ndio nimemkwamisha dada
Далее
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Просмотров 10 млн
Дьявол - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
19:10
NACHATI NA MWARABU
10:31
Просмотров 138 тыс.
When Left Footies Win International Titles 🍼🐐
0:19
Mbappe vs Messi🇦🇷 & New Messi🇪🇸
0:25
Просмотров 4,2 млн